Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Na ushamba wako utaiwezea wap dar ..ndo maana unaogopa [emoji12][emoji28][emoji28]
Bora niwe mshamba naishi decent life na naishi sehemu nzuri,siwezi ishi kwa mafirauni kunakonuka mimi..

Robo 3 ya Dar wanaishi kwa tabu na shida tupu huko kwenye uswazi wenu..

Mvua ikinyesha Kero,jua likiwaka kero sasa hayo ni maisha? Watu wamenenepeana kama vitimoto 😁😁
 
Mwanza kuna apartments zipi? Vile vipicha ulivyo post kule nikakuuliza ndio apartments au? [emoji38][emoji38].

Au Mwanza kuna barabara zipi za maana?
Hope unaipenda sana mwanza .. siwezi post pictures humu nitaharibu Uzi wa watu
 
Unajua hata maana ya apartment au unaongea tu
Ni hizi hapa za Dar 😜😜.

Harafu jitu linakaa humu linakuja kupondea mkoani heee 🀣🀣🀣🀣
 

Attachments

  • Screenshot_20220908-222725.png
    486.2 KB · Views: 4
We hujielewi na usije maana utakuja kugongwa na magari.
Nimesoma chuo Dar miaka 3,nimefanya Kazi miaka 2 na kila mwezi wa 7 nakuja Kwa event ya wiki zima ,naanzaje kugongwa na gari huko kwenu Kwa kina midebwedo?

Siwezi ishi Jiji la hovyo hilo,linanuka kuanzia hapo bandari I hadi kawe beach..

Inyeshe mvua tabu,liwe jua tabu ..Horrible life hiyo huwezi ikuta mikoani na in fact haipo Mbeya Wala Njombe.
 
Ungekuja kugongwa huna jinsi utafanyaje? Huna business umeajiriwa halmashauri hamna nafasi dar baki porini.

Ushamba wako wa mkoani usituletee pwani!!
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Acha uongo, MJ alifika mpaka magogoni akaonana na mzee mwinyi [emoji24][emoji24]
 
Nakubali sana man

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uba
Yani masukuma na mashamba mengine yakizidiwa kitu hoja ni ubaguzi, fear of the unknown wabaguzi ni nyie na Mungu kawaumbua na mungu mtu wenu. Yani mkiulizwa mmebaguliwa wapi majibu hakuna, mmebebwa mpaka aibu na sasa mta tia adabu.
 
Uba

Yani masukuma na mashamba mengine yakizidiwa kitu hoja ni ubaguzi, fear of the unknown wabaguzi ni nyie na Mungu kawaumbua na mungu mtu wenu. Yani mkiulizwa mmebaguliwa wapi majibu hakuna, mmebebwa mpaka aibu na sasa mta tia adabu.
Nenda kasome uncivilized kabishane na wajinga wenzio mi sio msukuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…