Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Hakuna mtu nje ya Tanzania anaijua mwanza au anawaza akaitwmbelee takataka hiyo. Likijiji.
Nilijua huu Uzi lengo ni kuattack mwanza. Na hyo ishashindikana sasa ..Kwa sababu lies never win over the facts ..
Dawa ya disinformation ni hii[emoji116]
 
Mbeya kuna totoz kali ?,hivi kwanini mbeya kwanini watu wengi wako rafu rafu halafu kwanini wanawake wengi wa mbeya wana ndevu
 
Majiji ya south yana hadhi bwana au port louis mauritius
 
Hawaangalii vigezo Bali ni utashi wa wanasiasa,kwani hukumbuki Dodoma
ni mtu mmoja aliamka kutoka usingizini akatamka,kuanzia leo Dodoma utakuwa jiji na watu wakapiga makofi.Hata kahama ilipandishwakuwa Manispaa kwa matamko.
Mkuu kama lindi nayo ni manispaa kwanini isiwe kahama nayo ni manispaa
 
Iwe na watu laki 5
Iwe na uwezo wa kujitegemea kimapato asilimia 95
iwe na makao makuu ya mkoa
Iwe na miundombinu ya kutosha
Na wakazi wake wasiwe wanaotegemea kilimo kama shughuli ya kiuchumi
Tanga ina hivyo vyote vigezo ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na maisha yenu ya huko Dar kamwe siwezi ishi sehemu kama hiyo maana robo tatu ya watu wanaishi kwenye slums,Mji unanuka,watu ni wengi hatari na ufirauni wa kuzidi..

Mikoani hayo mambo ya hovyo hayapo.
Ukija Dar jitahidi ufikie Masaki, Osterbay, Mbezi Beach , Mbweni, Upanga, mikocheni.

Acha kufikia Tandale, Mburahati, keko, Buguruni,

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…