Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?
 
Ukienda dar hakikisha unafikia maeneo mazuri ili usirudi na komenti kama hii.
 
Haya ni majiji kwa mujibu wa sheria na kanuni za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio kwa mujibu wa Marekani, China au Japan. Ushatufahamu?
Majiji haya kama dodoma yaliyotamkwa tu na mwanasiasa?
Vigezo lazima viboreshwe ili hadhi inayotolewa iwe sahihi.
 
Yanatamkwa baada ya kukidhi vigezo na sio maongezi ya majukwaani.
Yanatamka na nani Dogo? Na unajuaje kama kabla hayajatamkwa yanakuwa hayajakidhi vigezo? Hivyo vigezo unavijua kwanza? Unajua kwanini Chato ilikataliwa kuwa mkoa? Unajua kwanini Moshi ilikataliwa kuwa jiji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…