Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Unadhani ukisema Dar es Salaam mahala pote ni pazuri? Mbona mko majinga majinga sana nyie waTanzania
Una uhakika hujakosea kunukuu? Mimi nakwambia Uyole ni sehemu nzuri wewe unajibu nini hiki!, are you Ok?
 
Mbeya sio jiji aiseeh

Siku nafika nilishangaa Sana Sana inakuaje sehemu ya Hovyo namna Ile inakuwa ya jiji.

Na Tanga eti nalo ni jiji hehehe
Dar wakati inapewa hadhi ya jiji ilikua namuonekano gani mkuu
 
Upweke tu ndio unamfanya aseme hivyo na sio vinginevyo
 
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
 
Kwa Mwanza umechemka, wewe ni wale mnaokwenda mahala unalala hotel kunakucha baada ya siku tatu mnaondoka kijijini kwenu
Mwanza nimekaa mwezi mzima tena nilikuwa free kwenda mji mzima nikabaki na huzuni.
 
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Mbwiga was R, hakuna jiji kubwa kama Arachuga chaliii bilionea
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    4.2 KB · Views: 8
  • download.jpeg
    4.1 KB · Views: 8
Mbeya sio jiji aiseeh

Siku nafika nilishangaa Sana Sana inakuaje sehemu ya Hovyo namna Ile inakuwa ya jiji.

Na Tanga eti nalo ni jiji hehehe
Mbeya nyumba zilivyotapakaa ni uharibifu wa ardhi.
 
Dar es salaam ndio mkoa mchafu wa mazingira almost kuliko mikoa yote Tanzania
Ukifika dar jaribu kuishi maeneo mazuri usikae huko tandale, buguruni, vingunguti..etc nenda mbweni, goba, mbezi beach, oysterbay, masaki etc
 
Wapi nimesema hivyo ndio vigezo pekee? Nilikuwa namjibu yule aliyesema mazingira sio kigezo.

Hiyo mikoa hapo ina raia wengi masikini sana, hiyo ndio hali ya maisha.
Hoja zako nyingi sizielewi, unaposema mikoa ina raia wengi masikini ndio kumaanisha nini?
Kuna mkoa wenye watu wengi masikini na wenye maisha magumu kushinda Dsm?

Usafi wa mazingira na mpangilio havipo kabisa kwenye vigezo.

Vigezo ni viwili tu, idadi ya watu na mapato yanayokusanywa, full stop.
 
Yaani watu wa Jf wataanza kuisema Lindi wataisema Kilimanjaro wataisema Kagera, Shinyanga, Ruvuma Yani Kila Mkoa kwao ni takataka
Alafu unakuta majigambo kibao, wanaona sehemu nyingine ni takataka...kumbe hawana hata shuka za kujifunika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…