Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Wasukuma Wana mind ..wakati ukweli mwanza Ni Kijiji kilichochangamka.
wivu .na bado
[emoji116]
20220807_225015.jpg
 
Kwanza title ya Uzi inaonyesha mtoa post Hana ufahamu au uelewa wa anachokipost ...unaposema zirudishwe kuwa halmashauri..[emoji14][emoji14][emoji28][emoji28] ,,kwamba jiji la dar sio halmashauri,...au huelewi maaana ya halmashauri [emoji16][emoji16]
 
Halmashauri zipo za aina mbalimbali lakini Tanzania hii mtu akisema halmashauri inaeleweka anaongelea nini. Halmashauri nyingi ni za wilaya/mji.
 
Mkuu, wewe ni wa kanda ya kaskazini sio? Au nimekosea!! Maana watu wa pwani huwa sioni wakiiponda mwanza.
 
... hivyo vigezo ni worldwide au ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Mkutano Mkuu inaamua?
Duniani kote ni hivyo.

Hili jambo mbona hata kwa akili ya kawaida tu linaonekana, inakuwaje watu na heshima zenu kama wewe dudus inashindwa kuelewa?

Mji ni watu, sio majengo. Mpangilio mzuri wa majengo bila watu unafaa nini?

Halafu maghorofa au mpangilio ni fasheni tu kama vile nguo, panaweza pasiwepo ha ghorofa hata moja kukawa na nyumba za kawaida tu, lakini watu wakapopulate hilo eneo pakawa jiji.

Jiji la Mwanza limekuwa jiji bila kuwa na barabara za lami, unakumbuka?
Majiji mengi ya zamani BC hayakuwa na maghorofa wala mpangilio unaoupenda wewe, lakini yalikuwa majiji.

Nadhani nimetumia nguvu nyingi sana kuelezea hii topic, I am done!
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Naunga mkono
 
yaani sisi waswahili tuna matatizo sana ,
1. yaani vingozi wa mbeya hasa madiwani wa Jiji hawaoni aibu kwamba jiji lina barabara moja tu toka uyole hadi mwanjelwa , mpaka mbalizi !!. hivi angekuwa anatawala mkoloni hali ingekuwa hivyo ?
2. Hivi mnafahamu kuwa kati ya ilomba na Mama John (mkono wa kushoto kama unaenda mwanjelwa) kuna vimitaa muelekeo wa mwambene vimezibwa na vibanda vya biashara na kufanya pawe kama squatter , nyie mnaona poa tu !
upande wa kulia (muelekeo wa VETA ) kipande cha Ilomba na Mama John kulitakiwa ipasuliwa mitaa kama minne hivi angalau mji upendeze
PESA ITATOKA WAPI
mnajenga majengo ya ghorofa kwa ajili ya ofisi yanayogharimu ma bilioni, mnafahamu kwa Bilioni 2 unaweza kutengeneza ISANGA na ILEMI ikapata mitaa hata 8 na waliobomolewa nyumba wakafidiwa ?. yani ukitokea Chunya ukifika pale mlimani (Mwansekwa) ukaangalia Mbeya, unajiuliza hivi kweli mji unaharibika hivi , kuna viongozi kweli hapa ? (tuwe tunatoka nje ya box) yani kazi kusema tu madawati, vituo vya afya , TASAF lakini tunasahau vitu vya msingi kabisa , kama hivi
3. Hao matajiri , wanakwenda uswahilini, wanafidia nyumba , wananunua barabara na kisha wanajenga magodauni yao na maisha yanaendelea vizuri, nyinyi kwanini hamuigi ? sasa hivi mnatakakuchukua eneo la Redio Tanzani pale Iwambi ,
4.Jiji la Mbeya haliko vizuri, chukueni hatua
 
Umeandika vizuri sana. Hakika mbeya unaijua. Inashangaza mbeya kuwa jiji wakati main road ni moja tu ambayo hata ikitokea emergency maeneo ya kabwe ni kazi sana kumuwahisha mgonjwa kule rufaa kwasababu barabara imejaa foleni.
 
Jiji linatakiwa kuwa na Main road ngapi? 😝😝😝😝😝
 
yaani sisi waswahili tuna matatizo sana ,
1. yaani vingozi wa mbeya hasa madiwani wa Jiji hawaoni aibu kwamba jiji lina barabara moja tu toka uyole hadi mwanjelwa , mpaka mbalizi !!. hivi angekuwa anatawala mkoloni hali ingekuwa hivyo ?
2. Hivi mnafahamu kuwa kati ya ilomba na Mama John (mkono wa kushoto kama unaenda mwanjelwa) kuna vimitaa muelekeo wa mwambene vimezibwa na vibanda vya biashara na kufanya pawe kama squatter , nyie mnaona poa tu !
upande wa kulia (muelekeo wa VETA ) kipande cha Ilomba na Mama John kulitakiwa ipasuliwa mitaa kama minne hivi angalau mji upendeze
PESA ITATOKA WAPI
mnajenga majengo ya ghorofa kwa ajili ya ofisi yanayogharimu ma bilioni, mnafahamu kwa Bilioni 2 unaweza kutengeneza ISANGA na ILEMI ikapata mitaa hata 8 na waliobomolewa nyumba wakafidiwa ?. yani ukitokea Chunya ukifika pale mlimani (Mwansekwa) ukaangalia Mbeya, unajiuliza hivi kweli mji unaharibika hivi , kuna viongozi kweli hapa ? (tuwe tunatoka nje ya box) yani kazi kusema tu madawati, vituo vya afya , TASAF lakini tunasahau vitu vya msingi kabisa , kama hivi
3. Hao matajiri , wanakwenda uswahilini, wanafidia nyumba , wananunua barabara na kisha wanajenga magodauni yao na maisha yanaendelea vizuri, nyinyi kwanini hamuigi ? sasa hivi mnatakakuchukua eneo la Redio Tanzani pale Iwambi ,
4.Jiji la Mbeya haliko vizuri, chukueni hatua
Ukitoa Dodoma ,Jiji gani limepangwa hapa Tanzania?

Mipango miji ni tatizo la Nchi Wala sio la Mbeya pekee..

Mwisho kwani Jiji linatakiwa kuwa na main road ngapi Mzee? Kwani hujui kwamba mwaka huu ujenzi unaanza wa njia 4 hapo hapo na baadae kutajengwa bypass 2.
 
Back
Top Bottom