OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Uwezo wangu wa akili Haujaishia hapo.Ndio uwezo wako akili umeishia hapo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo wangu wa akili Haujaishia hapo.Ndio uwezo wako akili umeishia hapo .
wivu .na badoWasukuma Wana mind ..wakati ukweli mwanza Ni Kijiji kilichochangamka.
Halmashauri zipo za aina mbalimbali lakini Tanzania hii mtu akisema halmashauri inaeleweka anaongelea nini. Halmashauri nyingi ni za wilaya/mji.Kwanza title ya Uzi inaonyesha mtoa post Hana ufahamu au uelewa wa anachokipost ...unaposema zirudishwe kuwa halmashauri..[emoji14][emoji14][emoji28][emoji28] ,,kwamba jiji la dar sio halmashauri,...au huelewi maaana ya halmashauri [emoji16][emoji16]
Mwanza ni jiji ila mbeya na tanga hapana
Duniani kote ni hivyo.... hivyo vigezo ni worldwide au ni Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Mkutano Mkuu inaamua?
Naunga mkonoNimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
Hakuna mji wenye population kama ya mwz hauitwi jiji dunian mengjne nKweli, mwanza pazuri kuliko mbeya lakini bado hapajafikia hadhi ya jiji.
Mwanza ni takatakaMajiji ni mawili tu Tz...Dar es Salaam na Mwanza kwingine ni miji iliyochangamka tu
Mbeya ni zaidi ya mwanza kwa 'utakataka'Mwanza ni takataka
Umeandika vizuri sana. Hakika mbeya unaijua. Inashangaza mbeya kuwa jiji wakati main road ni moja tu ambayo hata ikitokea emergency maeneo ya kabwe ni kazi sana kumuwahisha mgonjwa kule rufaa kwasababu barabara imejaa foleni.yaani sisi waswahili tuna matatizo sana ,
1. yaani vingozi wa mbeya hasa madiwani wa Jiji hawaoni aibu kwamba jiji lina barabara moja tu toka uyole hadi mwanjelwa , mpaka mbalizi !!. hivi angekuwa anatawala mkoloni hali ingekuwa hivyo ?
2. Hivi mnafahamu kuwa kati ya ilomba na Mama John (mkono wa kushoto kama unaenda mwanjelwa) kuna vimitaa muelekeo wa mwambene vimezibwa na vibanda vya biashara na kufanya pawe kama squatter , nyie mnaona poa tu !
upande wa kulia (muelekeo wa VETA ) kipande cha Ilomba na Mama John kulitakiwa ipasuliwa mitaa kama minne hivi angalau mji upendeze
PESA ITATOKA WAPI
mnajenga majengo ya ghorofa kwa ajili ya ofisi yanayogharimu ma bilioni, mnafahamu kwa Bilioni 2 unaweza kutengeneza ISANGA na ILEMI ikapata mitaa hata 8 na waliobomolewa nyumba wakafidiwa ?. yani ukitokea Chunya ukifika pale mlimani (Mwansekwa) ukaangalia Mbeya, unajiuliza hivi kweli mji unaharibika hivi , kuna viongozi kweli hapa ? (tuwe tunatoka nje ya box) yani kazi kusema tu madawati, vituo vya afya , TASAF lakini tunasahau vitu vya msingi kabisa , kama hivi
3. Hao matajiri , wanakwenda uswahilini, wanafidia nyumba , wananunua barabara na kisha wanajenga magodauni yao na maisha yanaendelea vizuri, nyinyi kwanini hamuigi ? sasa hivi mnatakakuchukua eneo la Redio Tanzani pale Iwambi ,
4.Jiji la Mbeya haliko vizuri, chukueni hatua
Miaka 22 then still ni rubbish tupu 😀😀Kwa taarifa yako Mwanza ina miaka 22 toka ipate hadhi ya kuwa jiji ni mji wapili hapa Tanzania kupata hadhi hiyo. Acheni chuki na Mwanza
Jiji linatakiwa kuwa na Main road ngapi? 😝😝😝😝😝Umeandika vizuri sana. Hakika mbeya unaijua. Inashangaza mbeya kuwa jiji wakati main road ni moja tu ambayo hata ikitokea emergency maeneo ya kabwe ni kazi sana kumuwahisha mgonjwa kule rufaa kwasababu barabara imejaa foleni.
Nenda kazihesabu dar utajua angalau zinatakiwa ngapi.Jiji linatakiwa kuwa na Main road ngapi? 😝😝😝😝😝
Ukitoa Dodoma ,Jiji gani limepangwa hapa Tanzania?yaani sisi waswahili tuna matatizo sana ,
1. yaani vingozi wa mbeya hasa madiwani wa Jiji hawaoni aibu kwamba jiji lina barabara moja tu toka uyole hadi mwanjelwa , mpaka mbalizi !!. hivi angekuwa anatawala mkoloni hali ingekuwa hivyo ?
2. Hivi mnafahamu kuwa kati ya ilomba na Mama John (mkono wa kushoto kama unaenda mwanjelwa) kuna vimitaa muelekeo wa mwambene vimezibwa na vibanda vya biashara na kufanya pawe kama squatter , nyie mnaona poa tu !
upande wa kulia (muelekeo wa VETA ) kipande cha Ilomba na Mama John kulitakiwa ipasuliwa mitaa kama minne hivi angalau mji upendeze
PESA ITATOKA WAPI
mnajenga majengo ya ghorofa kwa ajili ya ofisi yanayogharimu ma bilioni, mnafahamu kwa Bilioni 2 unaweza kutengeneza ISANGA na ILEMI ikapata mitaa hata 8 na waliobomolewa nyumba wakafidiwa ?. yani ukitokea Chunya ukifika pale mlimani (Mwansekwa) ukaangalia Mbeya, unajiuliza hivi kweli mji unaharibika hivi , kuna viongozi kweli hapa ? (tuwe tunatoka nje ya box) yani kazi kusema tu madawati, vituo vya afya , TASAF lakini tunasahau vitu vya msingi kabisa , kama hivi
3. Hao matajiri , wanakwenda uswahilini, wanafidia nyumba , wananunua barabara na kisha wanajenga magodauni yao na maisha yanaendelea vizuri, nyinyi kwanini hamuigi ? sasa hivi mnatakakuchukua eneo la Redio Tanzani pale Iwambi ,
4.Jiji la Mbeya haliko vizuri, chukueni hatua
💉💉😆😆[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kwa hiyo daraja ndio kuwa Jiji? 😝😝