Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Bongo inahitaji sana kuwa na database ya fingerprints na kitengo bobezi cha forensic
Hakuna nchi duniani yenyewe database ya fingerprints za raia wake wema. Labda uwe mhalifu au unashukiwa kwa uhalifu, au baadhi ya kazi lazima wakuchukue DNA
 
Ingelikuwa kweli basi kuna watu wameua sana na bado hawana kujuta na wana kula bata.
Haha mambo ya MTU haipotei siku hizi siyaamini
 
Hakuna nchi duniani yenyewe database ya fingerprints za raia wake wema. Labda uwe mhalifu au unashukiwa kwa uhalifu, au baadhi ya kazi lazima wakuchukue DNA

Una uhakika?
 
Siku hizi wezi wajanja sana hawaachi alama hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama tungekuwa na kitengo thabiti sidhani kama matukio ya namna hii yangelikuwa yamekithiri hivi...

Pamoja na kwamba cases za homicide au suicide huchukua muda mrefu kupata ushahidi, lakini ushahidi wake mara nyingi huwa wa uhakika kwa sababu analysis zqke hufanywa kisayansi na kwa utulivu mkubwa...
 
Wooote mmezungumza hapa, Lakini mnazunguka pale pale hivi humu Hakuna wa kutuwezesha kujua mambo muhimu Kwanzaa? Hakuna anaejua Juu Ya safari yake ndio twaweza kujadili vizur, tunataka aliepata taarifa Juu Ya kwamba tangu aondoke kwake zilipita Siku ngapi? Na je alipoondoka Kwa kumwakilisha shehe wa Mkoa je alienda dar au Alikuwa hajaenda? Na je watu Wa huko kwenye kikao Dar wanasemaje? Je alifika kwenye kikao au hakufika? Na je Hakuna anaejua mazingira ya hiyo ofisi yake atuelezeee hapa? Ili tujue kuwa ofisi iko gorofani au chini? Na je Kama iko chini au gorofani hana Msaidizi. Wake? Na siku zote hizo hao wasaidiz wake hawakwenda ofisini? Na je mazingira ya hiyo ofisyake ikitokea mtu anapiga kelele majirani wanaweza kusikia au hawawezi? Tukipata hizo information tunaweza jadili vizur

Hata hivyo pamoja na yoooote hayo huyo kauwawa na watu wanaofanya Kazi Kwa kujiamini wanaweza kuwa wataaalam toka kitengo pendwa au watu Wa system na Kama ni kutoka kwenye kitengo hicho sio rahis kujulikana na Kama sio Wa kitengo hicho basi watu hao watakuwa ni watu wenye mtandao Mkubwa wenye hela za maaana

Lakini kitu kingne huyo aliemtuma anaweza kuwa source Ya information za awali kuwa je alipokuwa anaandaa mchakato wa kumtuma alimhusisha Nani na je Nani alijua au Nani alikuwa akifuatilia hizo issue maaana hapa inawezekana kabisaaa kuwa wauwaji walijua issue ya safari na wakaona waitumie Kama sababu na ukitazama huyo walichukua data nyiiingi toka kwake au kuna hela zilichukuliwa kwanzaaaa zikaisha kwenye account ndio wakamuua inawezekana alitoa namba za Siri na Kadi Ya bank wajaribu kurudi kwenye account zake za bank wazifuatilie zooote Kwanzaa huenda walikaaa nae Siku mbili au Tatu wakimchukulia hela walipomaliza wakamuuasuala la kuhusisha mwanamke hapo halipo kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekatwa uume ili kusumbua upelelezi...lengo ni kufanya jamii iamini kuwa chanzo ni mke wa mtu...huwezi kuua .mgoni wako alafu uache alama kubwa kiasi hicho...utakuwa umerahisisha upelelezi....hapa kutakuwa kuna issue za kikazi...hasa zinazohusu fedha!
 
Hiyo ofisi yake haina secretary? anaimiliki mwenyewe bila mtu mwingine kuhusika na shughuli nyingine hata za usafi? Ninavyoelewa kwa nafasi take lazima ofisi yake itakuwa na wasaidizi kadhaa, waanze kuulizwa hao.
Inawezekana aliingizwa hapo ofisini kama mzigo. The crime scene might have been staged, yawezekana aliuwawa sehemu nyengine kabisa. Cause of death yaweza kuwa ni strangulation or suffocation, hizo stab wounds na kukatwa uume zilifanyika after death and hence the absence of blood stains.....my two cents

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeingia kiroho sana na sasa umejisahau kabisa. Huyo Kristo wako anarudi kuja kuonana na wasio amini au kulichukua kanisa lake?? Sasa kama ni kulichukua kanisa, huyu mjahidina atakutana nawe wapi?? Au umeshamwacha Yesu na kuyarudia mataapishi
Huwezijua katika miisho yake alitengenezaje njia zake na Mungu wake maana hata huko wa watoto wa mama mdogo wapo wachaji Mungu ambao anawafahamu maana anasema anao kondoo ktk zizi la nje ambao wataisikia sauti yake nao watamfuata
 
Huwezijua katika miisho yake alitengenezaje njia zake na Mungu wake maana hata huko wa watoto wa mama mdogo wapo wachaji Mungu ambao anawafahamu maana anasema anao kondoo ktk zizi la nje ambao wataisikia sauti yake nao watamfuata
Mnaojifariji na mistari hii mko kinyume kabisa na sababu zilizomleta humu duniani. Ka ni hivyo hata walio motoni huenda siku moja wakatolewa kwa maombi yenu.
Nasema, Yesu hatompokea aliyemkataa au kumuonea haya hapa duniani. Alisema; Atamuonea haya mbele za Babake na malaika wake watakatifu.
Mkubali leo, waambie watu uamizi wako wa busara wa kumpokea awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako hapa ulimwenguni. Halafu uupokee uzima wa milele leo wala sio baada.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…