Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
We nae akili Ndogo, Ina maana haukusoma umekurupuka na kuleta vicopy vyako vya kipimbi,.

Unaambiwa alifungwa kamba kwenye kiti, Kwaiyo alijifunga kamba ndo akajiua au alijiua ndo akajifunga kamba?
 
Ha ha [emoji16] si unajua jamaa unaingiza yooooooote, mpaka demu anaguna kwamba imefika mahali pake. Ndio wife anagongwa na kupinduliwa style kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app

mna udhaifu mkubwa sana, mtu kuliwa au kula ni mpaka apende mwenyewe, wife hajabakwa kwa akili zake timamu ameamua kufanyana na mtu mwingine ambaye si wewe, Ni vizuri kumuacha the so called wife na si kukatiza uhai wa mtu mwingine. Mgoni ana adhabu zake kwa mujibu wa taratibu. Kumuua binanadamu its too much And unacceptable. Huwa najiuliza sana wauaji huwa wanalipwa nini kinachoweza kuthaminishwa na uhai wa binadamu?

anyways i am no body to judge.
 
We nae akili Ndogo, Ina maana haukusoma umekurupuka na kuleta vicopy vyako vya kipimbi,.

Unaambiwa alifungwa kamba kwenye kiti, Kwaiyo alijifunga kamba ndo akajiua au alijiua ndo akajifunga kamba?

Anaweza akajitumbua chini ya usimamizi wenye mbinyo, kisha wabaya / washikaji wake chini ya kiapo cha yamini wakamfunga kamba. Katika kutatua sababu za uhalifu hakuna dhana ya kipimbi.

Tujiulize jina Dalai lilikujaje wakati ukisoma comments zote jina lake ni Bura.

www.chicagotribune.com
Suicide a common killer of cops, but Fox Lake scandal no ordinary case

8 Nov 2015 Β· Experts say officers may be more at risk of suicide than the average ... typical when he staged his own death to look like a homicide
 
Zipo taarifa kuwa marehemu amewahi kufanya kazi Ikulu kwenye serikali ya awamu ya kwanza.

Hivyo ni mtu ambae alikuwa akifahamika kutokana na rekodi hiyo.

Polis waendelee na ucnunguzi kubaini sababu za kuuawa kwake.
Ohhhh another clue =Police CID +State House staff = Poleni sana wafiwa
 
Duh! mkuu acha matani.

Nami unadhani ni mfiwa?
Mkuu ndiyo issues zimejitokeza hapa kutoka kwa wachangiaji. Yaani kifupi inahusishwa
Mke wa mtu + fedha au mali za Islamic Fund + former Police CID +former State house staff + informer plus mengine tutayasikia = Poleni wafiwa.

Tusubiri upelelezi kama itakuwa kesi mashuhuri utasikia watuhumiwa wamepatikana au bado watuhumiwa at large kuwa imeshindilkana kuwapata. Ila kama ni kimya kimya ndiyo basi tena.
Ila kwa walivyoeleza ni rahisi mno angalau mpaka sasa wangekuwa wanashikiliwa washukiwa wa awali.
 
NAONA WAANGALIA SIRIZI WANASHUSHA EXPIRIENSI ZAO ZA EPISODI KADHAA HAHAHAH πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ozark

Created by Bill Dubuque ("The Accountant," "The Judge"), this drama series stars Jason Bateman as Marty Byrde, a financial planner who relocates his family from Chicago to a summer resort community in the Ozarks. With wife Wendy and their two kids in tow, Marty is on the move after a money-laundering scheme goes wrong, forcing him to pay off a substantial debt to a Mexican drug lord in order to keep his family safe. While the Byrdes' fate hangs in the balance, the dire circumstances force the fractured family to reconnect.
 
Kosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhaiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mmh, umeongea kimzaha lakini its possible, mtu kukufanyizia hivyo lazima ni interrogation au kitu personal sana kama hicho..
 
Ndugu yangu mtu anapokuwa kwenye changamoto kila mmoja wetu ana namna yake yakumaliza changamoto zake wengine kuua wengine kuacha mke nk
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu kwenye changamoto kila MTU ana style yakumaliza yanayomsibu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ψ§Ω† Ω„Ω„Ω‡ ΩˆΨ§Ω† Ψ§Ω„ΩŠΩ‡ Ψ±Ψ§Ψ¬ΨΉΩˆΩ†
Kwanza jee kuna mwenye picha ya marehemu ili atuwekee yawezekana tumewahi kukutana naye sehemu tofauti bila kumjua yeye ni nani.Hii pia itasaidia kupata taarifa na viashiria vya ziada.
Jengine huyu sheikh kuna uwezekano mkubwa ameuliwa na watu wasiojulikana kwa madhumuni ya kutoa ujumbe fulani safari hii.Kwani kwa kawaida wasiojulikana hufanya uhalifu wao mahali kusikojulikana na wahanga wao hajulikani kilichowakuta na kila siku ndugu hudhani ataonekana.
Kama ni watu hao waliomuuwa basi hakuna kitu kitajulikana kwani mafaili ya uhalifu kama huu hayadumu sana na habari zake hupotea milele , na kama ni wahalifu wa kawaida kwa kisa chochote kile kutokana na eneo la tukio na hali ya tukio basi lazima watapatikana na kusimamishwa kizimbani.
Kwa wenzetu matukio ya mauwaji huwa yanafuatiliwa hata miaka mia mbele.tena basi yanapitiwa na maendeleo tofauti ya kiteknolojia lakini hatimae wahalifu hujulikana na kama wako hai hufikishwa mahakamani.
 
Hilo jengo halina ofisi zingine, taarifa za kupitia kwa siku 5toka kwa wanafamilia akifika he hapo au mara ya mwisho alikuwa wapi kabla haja pore Hana simu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…