Wewe ukifanya kosa la uchafu wa kuzini halafu ukamuona mumeo anakuja na majirani na wakwe na una nafasi ya kutoroka hutatoroka?
Kwani Mimi ni mwanaume?unaelewa dhamana uliyopewa na Mungu ya kuwa mwanaume ? Mwanaume ni kichwa na kiongozi wa familia,ni kweli alifanya kosa la uzinzi yeye Ni binadamu sio malaika alitakiwa kusimama kwenye nafasi yake...ndi maana shetani mwenyewe kakaa pembeni anamshangaa
 
Too sad. Mke nae alipaswa kufikiria wanae kama wapo kabla ya kuandaa fumanizi. Pamoja na Uzinzi ila ndio Baba. Wakati mwingine sio lazima uvunje ndoa kwa namna ya kuwafanya wanao waishi na aibu ya udhaifu wa baba yao.
 
Aisee wee ni mwanaume uliye na mbususu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inabidi uwaalike wavulana uwafundishe uwanaume kwa kweli. Upo very right
 
We nae malaya nini!?
Vyovyote utakavyo ni judge sawa tu ila ni ujinga kumfumania mtu ambae ulikuta akiwa na meno 32, tena unakuta maskini labda ulikuta ana watoto na mama tofauti eti leo waenda mfumania?

For a woman " If you can't handle your man at y'r home (privately)you will never handle your man in public"

Coz ukishamtia aibu ndo anaenda kukuacha kabisaaa hiyo ni point of no return.

Ndo maana nasisitiza mtu akikushinda omba talakaaaaaa
 
Ila Mungu kamuumbua itakuwa umalaya mkewe ulishamchosha Sasa atajiuguza na kuwa mpole nyumbani [emoji28][emoji28]
Huyo mkewe ukute uchi haoshi,vuzi hanyoi,Hana njonjo anatenga tu uchi Kama sufuria la kande,wanaume tunahitaji mengi kwenye kugonga jamani uume kusimamisha imara siyo Jambo dogo
 
Mkewe kafanya sahihi kumfumania maana cheo na hela zimemzuzua akakosa maadili Wacha avune aibu Sasa,
Mkewe ni selfish. Kama mwanaume ni malaya vunja ndoa watoto wako watakuheshimu. Sasa mambo ya kuja kuwaeleza watoto baba yenu kafa nilikuwa naenda kumfumania akakimbia ni aibu tu unawabebesha.
 
Nafasi yake ni kusubiri hapo waandishi wamkute habari iende viral atumbuliwe na kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya mali ya serikali? Tuache unafiki, mtu yoyote aliyefanya hilo kosa akipata nafasi ya kukwepa hiyo aibu angeitumia. Binadamu sisi ni wanafiki sana.
 
Pesa pesa
Na taasisi ya usalama wa Taifa haipo makini? Nadhani kuna maagizo kwa viongozi kutoendesha magari ya Serikali isipokuwa madereva walioajiriwa kwa kazi hiyo. Najaribu kufikiria familia ya mchepuko kama taarifa hii ni ya kweli. Anyway yataisha tu, mti huangukia utakakoangukia.
 
Sijawahi chepuka ila ikitokea nikachepuka siwezi kimbia. Sasa kilicho mkimbiza waziri ni nini?
Alitakiwa kumtoa mchepuko pale yeye akabaki akamsubiri mke wake akamwambia twende home wife sio vizuri mwanamke kuzulula usiku. Case closed.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…