Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwani Mimi ni mwanaume?unaelewa dhamana uliyopewa na Mungu ya kuwa mwanaume ? Mwanaume ni kichwa na kiongozi wa familia,ni kweli alifanya kosa la uzinzi yeye Ni binadamu sio malaika alitakiwa kusimama kwenye nafasi yake...ndi maana shetani mwenyewe kakaa pembeni anamshangaaWewe ukifanya kosa la uchafu wa kuzini halafu ukamuona mumeo anakuja na majirani na wakwe na una nafasi ya kutoroka hutatoroka?