cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Mkewe anajielewa lazima amfatilie mumewe mubinafsi anayejali Malaya kuliko familia pia ni fisadi kutumia rasilimali zilizolipwa na wananchi, Tena mkewe awaambie ukweli wanawe kuhusu umalaya wa baba Yao jinsi umemletea madhara makubwa na wao wasije muigaMkewe ni selfish. Kama mwanaume ni malaya vunja ndoa watoto wako watakuheshimu. Sasa mambo ya kuja kuwaeleza watoto baba yenu kafa nilikuwa naenda kumfumania akakimbia ni aibu tu unawabebesha.