Too sad. Mke nae alipaswa kufikiria wanae kama wapo kabla ya kuandaa fumanizi. Pamoja na Uzinzi ila ndio Baba. Wakati mwingine sio lazima uvunje ndoa kwa namna ya kuwafanya wanao waishi na aibu ya udhaifu wa baba yao.

MWANAUME ukiwa MUME kweli ndani ya ndoa yako mambo kama haya huwezi yafanya kama boya,
Na mkeo hawezi ruhusu hata jirani ajue udhaifu uliotokea. Ila atashughulika kwa hekima.

Asipokuombea kwa Mungu akunusuruπŸ™ na kutafuta ushauri kwa wazazi waliokuzaa na wazazi wa kiroho kuzuia na kupunguza chances za wewe kufanya yanayotokea atakulogaπŸ˜‚
 
Hivi unajisikia unachoongea kweli?Acha kumtetea mbwiga huyo mwanamme
 
Uzinzi ni tabia chafu sio kwa mwanaume wala kwa mwanamke na tabia chafu hufanywa na watu wachafu. Hili sipingi.

Ninachosema ni kuwa huyu mtu tunamshambulia kwa maamuzi yake ya kukimbia ila tunasahau kuwa kwa nafasi yake mtu yoyote alikutana na hiyo aibu angepata upenyo wa kuikwepa hiyo aibu angeitumia.
 
Yaani kifupi huyo mwanamme ni mbwiga!angekuwa Mume kweli Kama ulivyosema haya yasingetokea,huyo mwanamme hajiheshimu yeye,Wala mkewe Wala familia yake na hajui kupambana na changamoto ndio maana mkewe nawe kashindwa kumheshimu..Mume anaejiheshimu hata mkewe akigundua tatizo hawezi muandalia fumanizi wataongea kwenye ngazi ya familia na viongozi wa dini.
 
Unayajua madhila anayokutana nayo mwanamke mwenzio ..

Kuna moment zikifika huwa ni final.no return..

Stop judging..hayajakukuta.
Solution ninkuomba talaka kila mtu aishi maisha yake.
Maisha sio kukimbizana its all about happiness.

Mtu unakuta alishindwa na mama yake utamuweza wewe? Mimi sipendagi vurugu nikiona mtu kanishinda na quit.

Yaani unakomalia mtu malaya akuletee ukimwi? Oh come on.

Mimi hata niambiwe yuko pale hoteli fulani na mwanamke fulani..hata sms simtumii namsubiria nyumbani nifanye maamuzi.

Maisha yenyewe haya mafupi na mwanaume aanze nitia stress!msichokielewa ni kuwa mpaka mtu anacheat , weww huna nafasi tena so what are you wanting for? Just divorce!!!

Kazi ninayoifanya almost kila mwezi lazima nikutane na mambo ya matalaka..ukimsikiliza mwanaume ukamsikiliza na mwanamke kila mtu unaona yuko sawa ila kuachana ndo dawa.
 

Haijakutokea au?
 
Hivi unajisikia unachoongea kweli?Acha kumtetea mbwiga huyo mwanamme
Najua ninachoongea na sitetei uzinzi wake nachosema ni kuwa tujikite kwenye kumuhukumu kwa matumizi mabaya ya mali ya uma, hayo mengine ni binafsi sana ili kuyajudge ni lazima uyajue katika uhalisia wake. Hilo la matumizi mabaya ya mali ya uma lipo wazi.

Nimeshawahi kumuhukumu mtu kwa kuikimbia ndoa yake ila nilipopata nafasi ya kuzungumza nae nilijifunza kuwa haya mambo ya ndoa usiyahitimishe mpaka ujue mambo katika uhalisia wake.
 
na sijui kwa nini wanawake wana machale sana yani unabaki unajiuliza huyu mtu kajua vipi leo niko hapa kumuliza huwezi mana hapo ndio unatengeneza taharuki
Wanawake Huwa tunahisi jambo mapema tu kabla na hata ukibadilika Huwa tuna notice tunapiga kimya. Yani tuna machale ka majasusi wabobevu ni vile tu mengine Huwa tunawaza. [emoji28][emoji28] Hafu ukifumaniwa hata dudu ka lilikuwa limesimama linanyewa [emoji28][emoji28][emoji28]usicheze na fumanizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…