mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Too sad. Mke nae alipaswa kufikiria wanae kama wapo kabla ya kuandaa fumanizi. Pamoja na Uzinzi ila ndio Baba. Wakati mwingine sio lazima uvunje ndoa kwa namna ya kuwafanya wanao waishi na aibu ya udhaifu wa baba yao.
MWANAUME ukiwa MUME kweli ndani ya ndoa yako mambo kama haya huwezi yafanya kama boya,
Na mkeo hawezi ruhusu hata jirani ajue udhaifu uliotokea. Ila atashughulika kwa hekima.
Asipokuombea kwa Mungu akunusuru🙏 na kutafuta ushauri kwa wazazi waliokuzaa na wazazi wa kiroho kuzuia na kupunguza chances za wewe kufanya yanayotokea atakuloga😂