Mkewe ni selfish. Kama mwanaume ni malaya vunja ndoa watoto wako watakuheshimu. Sasa mambo ya kuja kuwaeleza watoto baba yenu kafa nilikuwa naenda kumfumania akakimbia ni aibu tu unawabebesha.
Mkewe anajielewa lazima amfatilie mumewe mubinafsi anayejali Malaya kuliko familia pia ni fisadi kutumia rasilimali zilizolipwa na wananchi, Tena mkewe awaambie ukweli wanawe kuhusu umalaya wa baba Yao jinsi umemletea madhara makubwa na wao wasije muiga
 
Hao walikuwa wanawake WA zamani za kale, wanawake wa siku hizi wanavuta bangi, umfumanie halafu umpige biti?🤣🤣🤣🤣 Labda Kama humtaki tena
 
Hapo ndo wanawake mnapokosea. Aibu ya baba mtoto huibeba mpaka kaburini. Akifa huyo waziri hao watoto hata katika nafasi zao inabaki alama kuwa huyu baba yake ndo yule aliekufa akikimbizwa na mkewe akitoka kufanya umalaya regadless tabia ya mtoto.
 
Acha kumtetea,hiyo hajakimbia waandishi Kama ulivyokazania Umeona hapo kwenye taarifa kwamba mkewe aliongozana na waandishi?kwa mapaparazi gani kwanza wa Tanzania?
Halafu unasema eti anaogopa atashtakiwa na atumbuliwe kwa matumizi mabaya ya Mali za serikali,kwa nchi gani ya kumshtaki waziri kwenda kula bata na V8,?Tanzania hii hii au unaongelea USA?
Hiyo haogopi Cha waandishi Wala kutumbuliwa hiyo bwana anamuogopa mkewe kiasi Cha kushindwa kumkabili kusolve tatizo.....Naibu waziri ni sawa na yule mtu anaejifanya mentali huku anaogopa askari
 
Hao walikuwa wanawake WA zamani za kale, wanawake wa siku hizi wanavuta bangi, umfumanie halafu umpige biti?🤣🤣🤣🤣 Labda Kama humtaki tena
Ah na kidume unapaswa kuishi na mke huku ukijia anytime huyu naweza mtema tuu nikaleta chombo nyingine.
As a man never have ur wife as the only option. Utakuja kulia kwa choo
 
Hapo ndo wanawake mnapokosea. Aibu ya baba mtoto huibeba mpaka kaburini. Akifa huyo waziri hao watoto hata katika nafasi zao inabaki alama kuwa huyu baba yake ndo yule aliekufa akikimbizwa na mkewe akitoka kufanya umalaya regadless tabia ya mtoto.
Hamna kumuchekea mpenda zinaa Yani kwetu haipo hyo Yani wewe Malaya Mimi mwanamke nikufichie uchafu never on earth wallah. Tena heri afe tu kabisa watoto watakuwa tu maana uwaziri na ubunge sio wa wakati wote na haswa ka alikubuhu Kwa umalaya kwanini umusitiri
 
🤣🤣🤣Hiyo Sio ndoa Sasa ni living hell,,,,,na ndio maana wanawindana kufumaniana
 
Wewe ulifanya kosa kuolewa na malaya. Malaya ni malaya huwezi mkomoa kwa kuwakomoa wanao. Ukiolewa na malaya na ukazaa watoto smart move ni kuvunja hiyo ndoa.
 
🤣🤣🤣🤣Acheni kuiga u porn nyie mtakuwa hamkojozi wanawake,wanabaki wanakuectia tu ooooh yeeeaah🙄🙄🙄
Sasa kwani mie nipo pale kwa mwanamke nimkojoze au nikojoe mie😲😲😲
Kwani kuchapa tako ni porno? Mbona nyie mnakuwa na mawazo hasi hasi tuu🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kwani mie nipo pale kwa mwanamke nimkojoze au nikojoe mie😲😲😲
Kwani kuchapa tako ni porno? Mbona nyie mnakuwa na mawazo hasi hasi tuu🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Basi we endelea kupiga kota tu Kama upo Kwa ajili yako mwenyewe ukimaliza kata kibunda
 
Wewe mama D😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…