Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Yeah...Hiyo gari ni zaidi ya 400M - na angalia ilivyochakaa hapo....Ndio maana hii nchi haiendelei.... personal? Gari la serikali more than 400m/- kufuata malaya? Kuwa serious jombaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah...Hiyo gari ni zaidi ya 400M - na angalia ilivyochakaa hapo....Ndio maana hii nchi haiendelei.... personal? Gari la serikali more than 400m/- kufuata malaya? Kuwa serious jombaa!
Na huko walikoenda kufundwa, utakuta walikuwa wanakulana pia.... mbona juzi tu hapa walikuwa kwenye semina ya muda mrefu tu Arusha wakifundwa ... Ha ha ha! Hii nchi hii; as long as CCM is in power tusitegemee lolote kwa aina hizi za viongozi.
Ndio hiyo sababu huwapeleka na wengine kwenye siasa.Hawa walikuwa wanalinda biashara zao na hakuna kingine
In facts huyu mwamba ni mpumbavu! Apone tu tuje tumvue na uwaziri!Angeenda na Tax
Huyu mwamba anayezungumza eti hii issue ni very personal naye ni mpuuzi kama wapuuzi wengine!Vere pesono ahahaha
Wana kichaa wasemao hivyo.
n.k
- Gari aliyotumia ni ya kwake au serikali?
- Ukomo wa serikali kumuhudia naibu waziri ni saa ngapi?
- Nyumba anayoishi naibu waziri, ni yake binafsi au ya serikali?
U-pesono unatokea wapi kwenye VIEITEEE yetu?
Its NATURE hata umind vipi.usichukulie urijali kufanya mambo ya hovyo.
Duh matajiri wa jf, ni ndogo?Sasa Dola $1000 ni hela nyingi?
Mbona bongo kawaidaa sanaaa.. Huku mtaai STK mpaka saa 4 usiku tena vieteeee linajizungushaaa tu na kupark sehemu za starehe.Very personal kwa mali ya serikali? Nafikri mleta mada hazungumzii tukio la kuchepuka isipokuwa anashangaa inakuwaje waziri anaendesha gari ya serikali?
Kwani naibu waziri amefariki?Bora ujue lipo kaburini,kuliko kusikia lipo gest na mwanamke .Mwanamke mshindi rambirambi, mirathi pesa za kazini,na kama ana kazi nzuri wala hatalimiss atalea wanae vizuri kabisa.
Halafu anapindua gari unaruka unakata roho,yeye na darling wife wanaendelea na Maisha.
Haijulikani,ila kwa mujibu wa vyanzo.Naibu yupo hai na sema kaumia vibaya.Kwani naibu waziri amefariki?
Likiwa na Plate namba T 000 ABQ wakati ni jipyaaaaMbona bongo kawaidaa sanaaa.. Huku mtaai STK mpaka saa 4 usiku tena vieteeee linajizungushaaa tu na kupark sehemu za starehe.
Sasa huyo mwanaume Malaya anayechepuka Hadi kupata ajali yeye ndio Kuna ndoa kweli?So mke aliyekudhalilisha bado ndoa ipo?? Umevunjika mgongo au mguu ndugu zako watamlipa nini huyo mke??? Waafrika akili zetu twazijua wenyewe huyo ajiangalie sana
yani mke akufumanie au mtoto akushitukie unachepuka aisee unaweza ukawa unazunguka apo sebuleni kama pimbi flani iviKufumaniwa kubaya inabaki umeishiwa nguvu kabisa ni aibu
Wenzako eti wanasema angemuombea Tu, asingeenda kufumania🤣🤣🤣Labda kama ni jobless,ila kama ana kipato ninampongeza,atalea wanae vizuri tu.Mimi ni mjane pia. Nina amani maana nina uhakika alipo.Sio zamani mtu anakuaga anakwenda Mtwara kikazi,kumbe yupo hoteli na demu.
Hapo ukute alikuwa mke wa mtu, woooiUnakufa kifo chako kizuri tu cha kikahaba😂
[emoji2][emoji2][emoji2] akili Huwa inahama kabisa Yani na hata ukikificha vipi ipo siku utakutwa tuyani mke akufumanie au mtoto akushitukie unachepuka aisee unaweza ukawa unazunguka apo sebuleni kama pimbi flani ivi