Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,383
- 9,337
Ila mwanamke kwenda kumfumania mumeo sio kabsaa ------ hahaaaaaSasa mtu anakwenda na gari ya serikali, na plate number inaonyesha kabisa ni gai ya nani? Huyo anatakiwa akipona aende hata short courses CUBA....Dodoma kunaonekana wanawake wako tayari na Chupi Mkononi....na wanaunme zipu zimeshavunguliwa.....