... mbona juzi tu hapa walikuwa kwenye semina ya muda mrefu tu Arusha wakifundwa ... Ha ha ha! Hii nchi hii; as long as CCM is in power tusitegemee lolote kwa aina hizi za viongozi.
Na huko walikoenda kufundwa, utakuta walikuwa wanakulana pia.
 
Huyu mwamba anayezungumza eti hii issue ni very personal naye ni mpuuzi kama wapuuzi wengine!
 
Very personal kwa mali ya serikali? Nafikri mleta mada hazungumzii tukio la kuchepuka isipokuwa anashangaa inakuwaje waziri anaendesha gari ya serikali?
Mbona bongo kawaidaa sanaaa.. Huku mtaai STK mpaka saa 4 usiku tena vieteeee linajizungushaaa tu na kupark sehemu za starehe.
 
Bora ujue lipo kaburini,kuliko kusikia lipo gest na mwanamke .Mwanamke mshindi rambirambi, mirathi pesa za kazini,na kama ana kazi nzuri wala hatalimiss atalea wanae vizuri kabisa.
Kwani naibu waziri amefariki?
 
So mke aliyekudhalilisha bado ndoa ipo?? Umevunjika mgongo au mguu ndugu zako watamlipa nini huyo mke??? Waafrika akili zetu twazijua wenyewe huyo ajiangalie sana
Sasa huyo mwanaume Malaya anayechepuka Hadi kupata ajali yeye ndio Kuna ndoa kweli?
 
Labda kama ni jobless,ila kama ana kipato ninampongeza,atalea wanae vizuri tu.Mimi ni mjane pia. Nina amani maana nina uhakika alipo.Sio zamani mtu anakuaga anakwenda Mtwara kikazi,kumbe yupo hoteli na demu.
Wenzako eti wanasema angemuombea Tu, asingeenda kufumania🤣🤣🤣
 
yani mke akufumanie au mtoto akushitukie unachepuka aisee unaweza ukawa unazunguka apo sebuleni kama pimbi flani ivi
[emoji2][emoji2][emoji2] akili Huwa inahama kabisa Yani na hata ukikificha vipi ipo siku utakutwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…