Uzinzi hauna dini, Mfalme Selemani alikuwa na wake 300 na hakuacha kuchepuka, babake (mfalme Daudi) alikuwa na mke zaidi ya mmoja lkn bado akachepuka na mke wa mtumishi wake. Usihukumu au kusifu dini ya mtu kwa matendo ya waumini. Funguka!

Vv
Kwa nguvu za supu ya pweza na vumbi la kongo? mmoja hamuwezi, nanga zinapaa, msijidai kwenye mitandao ya kijamii.

Usitusemeshe mengi.
 
Aise.....

Ova
 
Huwa tunaambiana tusipende kufumania wenza wetu, wala kuandaa mitego ya kuwanasa wakitusaliti madhara yake ni makubwa. Pia tusipende kufuatilia simu zao ni hatari kwa mustakabali wa maisha ya ndoa. Kama ulioa/olewa na malaya ridhika tu na umalaya wake maisha yasonge. Au mkubaliane wote muwe na michepuko kwa kwenda mbele hakuna kuoneana wivu wa kimapenzi. Huyu akigawa hapa mwenzake naye anagawa dozi kule mkirudi nyumbani poa tu jipongezeni kwa kupeana tena dozi zenu bila kunyukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…