Huna point hapa Malaya ni Malaya tu.
 
Timbwili la mke wake analijua, sio ajabu mke ndio alilipa mahari ndio maana anamuogopa.
Sidhani Kama mkurya aliyetoa ng'ombe arobaini Kama mahari anaweza kumuogopa mke wake kindezi ndezi bila kujali maisha yake.
Hutakiwi kuogopa Mwanamke anayepanic na kuongea sana hakuna kitu atafanya ila wale wa kimya kimya ndio hawafai
 
Hatuombei mabaya, assume amekata moto, lawama zitamwendea mke wake kuwa amesababisha. Kwa nini asitulie nyumbani ? Mbona kuna wanawake ni watulivu, wanajua waume za ni wakware, ina maana hakujua madhara ya kufumania? Angetulia nyumbani huku ana data zote kuhusu uzinzi wa mume wake ili maisha yaendelee
 
Mke umleavyo ndiyo akuavyo.Alitakiwa kumdhibiti mapema aache tabia za kumfuatilia.
 
duh! Kama huyo mwanamke ni mke wa mtu mbona ni sheshe juu ya sheshe? Wote wamesaliti wenza wao. Mume wa huyo mwanamke atasemaje ukweni? Tushike adabu na wake za watu. Na wanawake nao washike adabu na waume za watu
[emoji2][emoji2][emoji2] hapo ndio balala lililokuwepo na ukute mke naye Huwa Huwa na bastola juu Sasa atabaki nashangaa wanaomcheka kukimbia
 
Wamekodi Coaster itakayowafikisha Dodoma kujua nini kilitokea kisha wataelekea Dar

Ni takribani Wazee 18 wa maeneo ya Ikingula Ilembula na Mdandu wilayani Wanging'ombe

Hii ajali imestua Wilaya nzima ya Wanging'ombe

Mawasiliano yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…