Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Amerika na ulaya kashfa za kimapenzi zinaweza kukuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa umma. Kule hakuna utetezi wa hayo ni mambo binafsi ya faragha. Tena wanaweza kufuatilia nyendo zako za kimapenzi hata kabla hujawa kiongozi uliishije na mahusiano hayo. Huku kwetu jitu lina michepuko isiyohesabika na watoto lukuku likigombea uongozi linapata na linaendelea na tabia yake ya kuchepuka
 
Hao malaya wanaoenda dodoma kuwinda wabunge wakware ni wazuri, wamekamilika kila idara na ni wasomi, wengine wanajua mpaka kifaransa. Huwezi kuwalinganisha na machangudoa wa mitaani ambao hata kwa buku wanachukua. Wale wanaoenda dodoma ni super scale na ni high class v.i.p affordabkwa

Huna point hapa Malaya ni Malaya tu.
 
Timbwili la mke wake analijua, sio ajabu mke ndio alilipa mahari ndio maana anamuogopa.
Sidhani Kama mkurya aliyetoa ng'ombe arobaini Kama mahari anaweza kumuogopa mke wake kindezi ndezi bila kujali maisha yake.
Hutakiwi kuogopa Mwanamke anayepanic na kuongea sana hakuna kitu atafanya ila wale wa kimya kimya ndio hawafai
 
Hatuombei mabaya, assume amekata moto, lawama zitamwendea mke wake kuwa amesababisha. Kwa nini asitulie nyumbani ? Mbona kuna wanawake ni watulivu, wanajua waume za ni wakware, ina maana hakujua madhara ya kufumania? Angetulia nyumbani huku ana data zote kuhusu uzinzi wa mume wake ili maisha yaendelee
 
Hatuombei mabaya, assume amekata moto, lawama zitamwendea mke wake kuwa amesababisha. Kwa nini asitulie nyumbani ? Mbona kuna wanawake ni watulivu, wanajua waume za ni wakware, ina maana hakujua madhara ya kufumania? Angetulia nyumbani huku ana data zote kuhusu uzinzi wa mume wake ili maisha yaendelee
Mke umleavyo ndiyo akuavyo.Alitakiwa kumdhibiti mapema aache tabia za kumfuatilia.
 
duh! Kama huyo mwanamke ni mke wa mtu mbona ni sheshe juu ya sheshe? Wote wamesaliti wenza wao. Mume wa huyo mwanamke atasemaje ukweni? Tushike adabu na wake za watu. Na wanawake nao washike adabu na waume za watu
[emoji2][emoji2][emoji2] hapo ndio balala lililokuwepo na ukute mke naye Huwa Huwa na bastola juu Sasa atabaki nashangaa wanaomcheka kukimbia
 
Wamekodi Coaster itakayowafikisha Dodoma kujua nini kilitokea kisha wataelekea Dar

Ni takribani Wazee 18 wa maeneo ya Ikingula Ilembula na Mdandu wilayani Wanging'ombe

Hii ajali imestua Wilaya nzima ya Wanging'ombe

Mawasiliano yataendelea
 
IMG-20230428-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom