Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Amerika na ulaya kashfa za kimapenzi zinaweza kukuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa umma. Kule hakuna utetezi wa hayo ni mambo binafsi ya faragha. Tena wanaweza kufuatilia nyendo zako za kimapenzi hata kabla hujawa kiongozi uliishije na mahusiano hayo. Huku kwetu jitu lina michepuko isiyohesabika na watoto lukuku likigombea uongozi linapata na linaendelea na tabia yake ya kuchepuka
AP Explains: Trump rape accuser cross-examined
Donald Trump's lawyer sought Thursday to pick apart a decades-old rape claim against the former president, questioning why accuser E. Jean Carroll did not scream or seek help when Trump allegedly attacked her in a department store. (April 27)