Umenena sawa. Katika hili, Serikali inajipaka matope kama yanenwayo ni kweli. Sioni sababu ya kuficha mazingira na sababu za matukio yote mawili. By the way, zama zimebadilika sana kwani wote wawili wana ndugu marafiki na maadaui,hivyo ni vigumu kuzuia taarifa
 
Hivi mpaka leo kuna asiejua kuwa yule naibu waziri alikuwa na huyo binti? 🤣 Wanadhani wanamdanganya nani labda yani? Viongozi dodoma, wamekuwa mstari wa mbele kurubuni mabinti kwa hela ambazo ni kodi za watanzania. Uzinzi Dodoma mjini, asilimia 95 ni waserikali na wanasiasa.
 
Hili suala mwenye akili hajiulizi mara mbili. Lkn kama ulivyosema Wanyiramba sio wajinga litakufa jitu. Waulize familia ya Ditopile kilichotokea baada ya figisu za aina hii kufuatia kumchapa risasi yule dereva mtukutu.
Hiyo ni ajali na siyo mauaji ya maksudi!! Unataka kusemaje, kwamba ajali haiwezi kuua?
 
Hili suala mwenye akili hajiulizi mara mbili. Lkn kama ulivyosema Wanyiramba sio wajinga litakufa jitu. Waulize familia ya Ditopile kilichotokea baada ya figisu za aina hii kufuatia kumchapa risasi yule dereva mtukutu.
Karma, heri kukubali usamehewe na ydishe.
 
Lying is just taking advantage of present time(s), situation and circumstances to hide the truth, yet it is risk in the future when those circumstances, time and situation have changed or no longer exist.
At least polisi wameanza ku tread csrefully maana suala inaelekea lita blow up in their face na kuwa complicit to bury the case.
 
Ikiwa kweli kifo chake kilitokana na ajili maarufu ya April 2023, na watu wanaficha hizo taarifa utangundua kuwa wananchi wanafichwa mengi na watu wapo tayari kuficha uovu ili kulinda heshima ya mtu mmoja aliyeamua kujiaibisha.
 
"Wamuharibie mama"?
Hapa ndipo huwa nabaki nashangaa na baadhi ya watu.

Umeleta hoja ya "watu kuwa wakweli", halafu wewe mwenyewe unakuwa mbele kutokuwa mkweli!

Huyo mama yeye hana mdomo na uwezo wa kusema ukweli? Yeye aone wasaidizi wake wanaharibu kwa kutokuwa wakweli, halafu yeye anayamaze tu, au asijue lolote kukomesha tabia hiyo mbaya?

Sasa ukiambiwa yeye ni sehemu, au chanzo cha tabia hiyo mbovu, sijui utakuja kusemaje hapa!
 
Ikiwa kweli kifo chake kilitokana na ajili maarufu ya April 2023, na watu wanaficha hizo taarifa utangundua kuwa wananchi wanafichwa mengi na watu wapo tayari kuficha uovu ili kulinda heshima ya mtu mmoja aliyeamua kujiaibisha.
Na huu ndio ukweli wenyewe. Yanayofichwa wananchi wasiyajue ni makubwa zaidi ya hii aibu inayomhusu mtu mmoja.

Siku moja tutakuja kujua kuwa kuna mambo makubwa, kama yale ya kuuza vipande vya nchi kwa wageni, kama Mbuga ya 'Mwiba' tunavyogundua sasa!

Kama itakuwepo Katiba Mpya, mambo ya namna hii yanapobainika wahusika, hata kama walishastaafu inafaa wawajibishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…