Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigogo anasema mwili wa Nusrat umekutwa kapasuliwa kichwa na mguu wa kulia umekatika. Akahoji ni kipigo gani hicho?Kwani kigogo anasemaje kuhusu hii habari anaejua atujuze
Kwa Nini wafiche taarifa. Taaarifa yeyote nihaki yako kuijua hata kama ni useless kwako lakini Kwa wengine inaweza kuwa na maana.Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
Na tukisha yajua hayo yanatusaidia nini kimsingi tukiwa kama wananchiView attachment 2612299
Polisi wanadhani Watanzania wanaishi kipindi kileee cha siasa ya Ujamaa na Kijitegemea, kumbe wao ndio wanaishi leo kwenye zama hizo.Ni kweli kifo Cha huyu Binti kina walakini ndani yake ambao wanajitahidi kuuficha. Watanzania sio wajinga to this extent.
Yaani wewe kifo cha mwananchi mwenzako katika mazingira tatanishi hakikugusi! Au mpaka ndugu yako wa damu yamkute?Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
Na tukisha yajua hayo yanatusaidia nini kimsingi tukiwa kama wananchiView attachment 2612299
Chako ni ChakoHicho kifo cha huyo mwanafunzi natamani ningekuwa ndani ya moyo wa naibu waziri nione mateso anayopitia kisaikolojia wakti huu, ni majuto makubwa sana anastahili councelling.
Wanzuki ya asubuhi sio chai, iache.Chako ni Chako
Ahaa! Hapa nimeelewa vizuri! Maana comments nyingi zili base kwenye fumanizi ambazo sikuona msingi wake kwa watu kukomalia habari hii! Ila kwa angle hii nimekuelewa vizuri[emoji109]Ikiwa kweli kifo chake kilitokana na ajili maarufu ya April 2023, na watu wanaficha hizo taarifa utangundua kuwa wananchi wanafichwa mengi na watu wapo tayari kuficha uovu ili kulinda heshima ya mtu mmoja aliyeamua kujiaibisha.
Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Unataka tujadili huu ujinga au unatoa fursa ya watu kutukana wenzao? Polisi katika taarifa yao wameomba mwenye taarifa kuhusu kifo cha marehemu awapekelee kama unazo wapelekee au tuambie wewe unachojuaSerikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Wanasemaga mnyonge hana haki mpaka mwenye nguvu apende !! Mpaka ndugu zake marehemu wamekaa kimya !! Jitokezeni please 🙏 !Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Kulinda taswira yake kama mtumishi BORA wa Umma ??! Hapo bado sijakuelewa vizuri !!!Nadhani ni kulinda taswira yake kama mtumishi wa Umma.
Lakini bado najiuliza mtu wa hadhi yake anawezaje kufanya mambo hayo hadharani? Si kuna sehemu za kukaa VIP, unakuwa wewe na mzinzi mwenzako pekee?
Maadili ya utumishi wa Umma yameporomoka sana.