Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hapo sasaPamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Makuwadi wa soko HURIA = ccmSerikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Untouchable ! Duh !Bado tunaishi in the Jungle era.
Era ambazo viongozi ni untouchable, chochote kitafanyika ikibidi kuvunja sheria, kuvunja maadili, kuvunja uaminifu, oindua nchi juu chini, geuza wananchi kuwa waoumbavu ili mradi tu viongozi walindwe na kubaki salama, huku rais wa nchi na wasaidizi wake wengine wakiangalia tu.
Uwajibikaji !! Uzingatiwe !Endapo tukipata ukweli je sisi wananchi wa kawaida itatusaidia Nini?
Nilishangaa kuona VC wa UDOM anataja chanzo cha kifo cha mwanafunzi wake, hii ni dhahiri hili ni genge la wahuni, wanalipana posho kwaajili ya kuficha kosa la waziri5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
Nadhani serikali apambane na mambo muhimu maana hata Rais atakuwa na Kazi ngumu kupamabana na wazinzi . Tujifunze kuhakikisha uwabikaji unaelekea Katika Mambo ya muhimu tu.Uwajibikaji !! Uzingatiwe !
Wapo hawa kwa sasa?Investigative journalism inapaswa kufanywa kuutambua ukweli
If true kama Taifa we are LOST !!Nilishangaa kuona VC wa UDOM anataja chanzo cha kifo cha mwanafunzi wake, hii ni dhahiri hili ni genge la wahuni, wanalipana posho kwaajili ya kuficha kosa la waziri
Ni sahihi waziri kutumia gari la unma kwenda kufanya zinaa?Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
Na tukisha yajua hayo yanatusaidia nini kimsingi tukiwa kama wananchiView attachment 2612299
Fukuza wazinzi weka waadilifu just as simple as that !!Nadhani serikali apambane na mambo muhimu maana hata Rais atakuwa na Kazi ngumu kupamabana na wazinzi . Tujifunze kuhakikisha uwabikaji unaelekea Katika Mambo ya muhimu tu.
Wewe ni mpumbavu wa mwisho katka dunia hii.Punga kabsaaDuh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
Na tukisha yajua hayo yanatusaidia nini kimsingi tukiwa kama wananchiView attachment 2612299
Ni kweli kuna mtu anakaribia kuonewa hovyo hovyoMpenzi wake nusrat popote alipo ajiandae kuubeba huu msala jamani tuwe makini na hawa viumbe
Waoga ! Wamebaki opportunistic journalism. !Wapo hawa kwa sasa?
Wamekula mshiko wa maana hao, na si ajabu walikuwa wanufaika wakubwa wa hela za naibu waziri kupitia marehemu enzi za uhai wake.. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
Kulinda taswira yake kama mtumishi BORA wa Umma ??! Hapo bado sijakuelewa vizuri !!!