Sasa kwanini hawataki kumtaja mwanamke aliyefariki katika hiyo ajali,wkt bodaboda eneo lile walishuhudia na wanasema Kuna mwanamke alifariki ktk ajali Ile?Hiyo ni ajali na siyo mauaji ya maksudi!! Unataka kusemaje, kwamba ajali haiwezi kuua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini hawataki kumtaja mwanamke aliyefariki katika hiyo ajali,wkt bodaboda eneo lile walishuhudia na wanasema Kuna mwanamke alifariki ktk ajali Ile?Hiyo ni ajali na siyo mauaji ya maksudi!! Unataka kusemaje, kwamba ajali haiwezi kuua?
Kwenye hiyo ajali waziri alikuwa na mwanamke au hakuwa na mwanamke ?Swali lako la kwanza, ni kweli si sahihi kutumia gari ya serikali kwenye harakati binafsi haswa kama anazotuhumiwa nazo
Swali la pili, si sawa ni lazima uwajibikaji na majibu yapatikane ila ishu niliyonayo mimi kwenye kutaka kuelewa ni kwanini huyo dada kahusishwa moja moja na hii ajali na si mtu mwingine!!? As if kuna watu wana uhakika wa moja kwa moja, je huyo muheshimiwa kama alikua na mwanamke mwingine kwenye gari na si huyo dada kama wanavyo shutumu!!?
Sijui kwanini wa cover ila najaribu kutomuhusisha huyo dada na hiyo ajali labda mpaka uchunguzi ufanyike ila sio kuhukumu moja kwa moja
Bahati mbaya wengi hawajanielewa tangu awali, ni hisia zangu zisizo na ushabiki wowote kama watu walivyo egemea kwenye fumanizi zaidi na kuwaunganisha hawa watu moja kwa moja.
Kweli kuna huyo dada wa chuo kapotea na kupatikana akiwa hana uhai bila taaharifa za kina ila sizani kama ni sawa kumuhusisha moja kwa moja na ajali hiyo, pengine hakuwemo humo kwenye ajali
Kuna mtu alisema jamaa anaongoza watu walio smart kiakili kuliko yeye.Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
!Mke kitengo na muda wote yuko na mguu wa kuku! Hata uwe kidume vipi lazima ugeuke Usain Bolt bila kupenda!
Hivi kwa nini Wanamlinda Waziri Malaya? Serikali isipende kubeba lawama zilizo wazi kabisaUmenena sawa. Katika hili, Serikali inajipaka matope kama yanenwayo ni kweli. Sioni sababu ya kuficha mazingira na sababu za matukio yote mawili. By the way, zama zimebadilika sana kwani wote wawili wana ndugu marafiki na maadaui,hivyo ni vigumu kuzuia taarifa
Hata mke wa Dugange akiwa kitengo, hili sakata, kifamilia na hata kijamii limekula kwake.Mke kitengo na muda wote yuko na mguu wa kuku! Hata uwe kidume vipi lazima ugeuke Usain Bolt bila kupenda!
Hiki kifo kama mzazi kinauma.Ni kweli kifo Cha huyu Binti kina walakini ndani yake ambao wanajitahidi kuuficha. Watanzania sio wajinga to this extent.
Na hao wanaume utawasemajeRAI: Mabinti acheni umalaya hasa wa kutembea na waume za watu
Vyuo vya dom ni kama madanguroDodoma imegeuka sodoma, watu wanamengenyuana tu - ndugu kama una mke ama mume Dodoma na wewe upo dar, umekwisha 😀 😀 ndoa nyingi zipo mashakani kwenye hiki kipindi cha mpito cha kuhamia Dodoma.
Kinachosumbua watu sio nyege za mtu mmoja bali ile ofisi yetu ya Umma isiwe occupied na mtu yeyote wa ajabu ajabu !! That’s the point !!Nyege za mtu mmoja zinakuja kusumbua watu kibao!
Na wala haikosei anuani ! Itaenda palepaleHiki kifo kama mzazi kinauma.
Kwanza binti karubuniwa kimapenzi, pili kafariki, tatu wote wanamkana.
Tuwe wavumilivu divine karma haiwahi wala haichelewi.
Vitoto vya chuo huko udom cbe kwengineko,na wao watulieHiki kifo kama mzazi kinauma.
Kwanza binti karubuniwa kimapenzi, pili kafariki, tatu wote wanamkana.
Tuwe wavumilivu divine karma haiwahi wala haichelewi.
Mimi sijui kama alikua na mtu yoyote ndani ya gari au hakua nae! Na siwezi lazimisha mawazo yangu kukubali kua alikua na mtu wakati unaweza kuta hakua na mtu and vise_versaKwenye hiyo ajali waziri alikuwa na mwanamke au hakuwa na mwanamke ?
Basi tuwape benefit of doubt wale wanaodai alikuwa na mtu mpaka tujiridhishe kuwa hakuwa na mtu.Mimi sijui kama alikua na mtu yoyote ndani ya gari au hakua nae! Na siwezi lazimisha mawazo yangu kukubali kua alikua na mtu wakati unaweza kuta hakua na mtu and vise_versa
Sipo kwenye kutetea maana na mimi nimesikia minong'ono tu kama wewe, au pengine wewe una taharifa za kuaminika utupe taharifa hizo!
Hivyo ni muhimu uchunguzi uchukue nafasi kujua wahanga wa ajali hiyo, pia uchunguzi mwingine kwa nafasi yake uchukue nafasi kwa mwanafunzi aliepotea nakupatikana akiwa marehemu ili kubaini kilichomfika kwa nafasi yake
Ila kumuhusisha huyo dada na fumanizi sioni kama nisawa pengine hakua kwenye harakati hizo, huyo muheshimia hata kama anashutuma hizo inawezekana kweli au sio kweli pia na haitoi tafsi kua alikua na huyo mwanachuo, kunawezekana alikua na mwanamke mwingine yoyote tofauti na huyo anae shutumia nae
Hivyo mnaweza mkawa mnakomaa na huyo mwanafunzi na kumpoteza muhusika halisi alie kwenye tukio
Pengine hapo ndipo niliposhindwa kueleweka tangu awali! Sikuegemea kwenye kuhitimisha kua huyo mwanafunzi ndio muhusika na nachukulia kama kumdhalilisha kumuhusisha na swala hilo maana kunauwezekano akawa kakutwa na makubwa huko alipo kua kukawa na ishu tofauti, na hata huyu muheshimiwa kunauwezekano alikua na mtu kwenye bila kujali ni mwanamke au mwanaume hivyo akakosa kutambulika kwa sababu ya kumuhusisha huyo mwanafunziBasi tuwape benefit of doubt wale wanaodai alikuwa na mtu mpaka tujiridhishe kuwa hakuwa na mtu.
Labda na yeye ameridhika na hali hiyo ya watendaji wakeMbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Kwanini watu wanamhusisha na binti huyo tu na si mwingine ?Pengine hapo ndipo niliposhindwa kueleweka tangu awali! Sikuegemea kwenye kuhitimisha kua huyo mwanafunzi ndio muhusika na nachukulia kama kumdhalilisha kumuhusisha na swala hilo maana kunauwezekano akawa kakutwa na makubwa huko alipo kua kukawa na ishu tofauti, na hata huyu muheshimiwa kunauwezekano alikua na mtu kwenye bila kujali ni mwanamke au mwanaume hivyo akakosa kutambulika kwa sababu ya kumuhusisha huyo mwanafunzi
Alikuwa anamwokoa jmn, wewe ungefanyaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km wanaume wenyewe ndo hawa wanaokimbia fumanizi na kutoa uhai wa wengine huku yeye akiwa majeruhi hapanaa kwa kweliii.
Siweziiiiiiii