Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
ni kwamba tunataka kushiriki lawama na kutoaminika kama taifa kwa ajili ya mtu mmoja mwenye dereva na aliyekuwa anaendesha gari ya serikali usiku bila kuwa na dereva? alikuwa anaenda ofisi gani usiku? ni mtanzania pekee mwenye uwezo kushika hiyo nafasi ya ofisi yake? ukiboronga jiandae kulipa garama peke yako hatutakiwi kumlipia garama kwa kufichaficha mambo wakati hatukuwa tunamlala nusra kwa pamoja. you mess up in your life, carry our own cross.