mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Maadili ya uongoziKwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadili ya uongoziKwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
Ingia mzigoni basikwa kweli anatuonea bure!.
P
Mhh!
Kigogo
@kigogo2014
Tamisemi na Naibu waziri wenu mna damu mikononi ya huyu binti!.
Huyu binti alikuwa na naibu waziri Dugange siku ya tukio na alichukuliwa chuo usiku kwenda kufanya umalaya na waziri wakaenda Chako ni Chako baada ya kumaliza kufanya uzinifu wao. Sasa wakati wapo wanalewa na kula mikuku ya kuchoma mke wa naibu waziri Dugange akapata taarifa kwamba munewe yupo na mwanamke Chako ni Chako Bar akakusanya watu wakiwemo waandishi wa habari wawili wakioko Dodoma ku cover mambo ya bunge kwenda kumfumania. Dugange akiwa kwenye harakati za kuka vidali vya kuku akamuona mkewe anazurura kumtafuta ndipo alipokimbia kwenye gari na huyo binti nakuondoa gari huku mkewe naye akimfuata nyuma wanafukuzana na magari! wakati wanafukuza ndipo Dugange aliyekuwa anaendesha gari akashindwa ku control gari na ikapinduka na binti kafa hapo hapo maana alikuwa hajafunga mkanda. Naibu waziri akapelekwa hospitali lakini kwa kificho sana bila kutaka ijulikane na serikali ikaficha jambo hili mpaka lilipoanza ku surface kwenye mitandao Gari la naibu waziri likapelekwa nyumbani kwake badala ya polisi kwa uchunguzi na mwili wa Nusura ukasafirishwa kimya kimya mpaka Hai tena kwenye kizahanati tu na kusema kafia hapo akioatiwa matibabu
Waandishi wa habari wanajua self cencorship.kwa kweli anatuonea bure!.
P
CCM yote inaingiaje kwa sintofahamu kama hii ?!!! [emoji849][emoji849]Makuwadi wa soko HURIA = ccm
Usishangae binti wa watu hakufa ila alimaliziwa kwa hofu kuwa akipona atamwaga siri, hivi rafiki zake na huyo binti hawajui za chini ya zuria!ni kwamba tunataka kushiriki lawama na kutoaminika kama taifa kwa ajili ya mtu mmoja mwenye dereva na aliyekuwa anaendesha gari ya serikali usiku bila kuwa na dereva? alikuwa anaenda ofisi gani usiku? ni mtanzania pekee mwenye uwezo kushika hiyo nafasi ya ofisi yake? ukiboronga jiandae kulipa garama peke yako hatutakiwi kumlipia garama kwa kufichaficha mambo wakati hatukuwa tunamlala nusra kwa pamoja. you mess up in your life, carry our own cross.
kuna watu huwa wanwaheshimu mawaziri na viongozi, wanawaogopa kabisa. tofauti na vichwa vya aina yetu ambao kwanza tukiwaona huwa tunawaona ni watumishi wetu sisi ndio tumewaajiri. kuna siku natoka zangu kitaa nashangaa shangingi lenye namba za waziri linajifanya linafurukuta, nililichomekea vizuri na kuwambia asubiri awe mpole na mbele magari hayaendi. na nilikuwa nasubiri dereva wake ashuke au hata yeye ashuke ili nione ananifanya nini...na mimi nimpe maelekezo na elimu. si ukute hapo watu wana elim ndogo wanaogopa tukisema waziri asije akatufunga.Usishangae binti wa watu hakufa ila alimaliziwa kwa hofu kuwa akipona atamwaga siri, hivi rafiki zake na huyo binti hawajui za chini ya zuria!
Mambo mengine yanawakuta ni laaana yao wameyatakakuna watu huwa wanwaheshimu mawaziri na viongozi, wanawaogopa kabisa. tofauti na vichwa vya aina yetu ambao kwanza tukiwaona huwa tunawaona ni watumishi wetu sisi ndio tumewaajiri. kuna siku natoka zangu kitaa nashangaa shangingi lenye namba za waziri linajifanya linafurukuta, nililichomekea vizuri na kuwambia asubiri awe mpole na mbele magari hayaendi. na nilikuwa nasubiri dereva wake ashuke au hata yeye ashuke ili nione ananifanya nini...na mimi nimpe maelekezo na elimu. si ukute hapo watu wana elim ndogo wanaogopa tukisema waziri asije akatufunga.
We bishoo wa Tanga mbona umemind mimi kumdiss joh kuliko joh alivomaind mimi kumdiss yeye - Young killer msodokiAtaliwa kichwa alafu cheo chake mtapewa nyie wenye chuki dhidi yake
Mkuu hili la Mwiba sijalisikia kashifa yake, waweza weka nyama kidogo?Na huu ndio ukweli wenyewe. Yanayofichwa wananchi wasiyajue ni makubwa zaidi ya hii aibu inayomhusu mtu mmoja.
Siku moja tutakuja kujua kuwa kuna mambo makubwa, kama yale ya kuuza vipande vya nchi kwa wageni, kama Mbuga ya 'Mwiba' tunavyogundua sasa!
Kama itakuwepo Katiba Mpya, mambo ya namna hii yanapobainika wahusika, hata kama walishastaafu inafaa wawajibishwe.
Ha ha ha!Huyo waziri kwanza ni fala sana yani mkewe ndio anamfanya akimbie mbio mpaka kutaka kufa.
Mkewe ndio utakuta anakauli nyumbani hapaswi kuwa waziri kabisa huyo bwana ni mtu aliyepokonywa upinde na mkewe
kumbe alikuwa anakimbia fumanizi? kwani alikuwa na bunduki huyo mwanamke? si nasimama tu na namuelewesha kwamba imeshatokea sasa tuyajenge yajayo? kwisha.Ha ha ha!
Mke wa Dugange angekuwa mvumilivu haya yote yasungetikea.
Hisia na moob psychology tu, na wengine watakua walikua wanamshikia miguu muheshimiwa ili afanye yake[emoji2960]Kwanini watu wanamhusisha na binti huyo tu na si mwingine ?
Carefully gani Polisi wametread?At least polisi wameanza ku tread csrefully maana suala inaelekea lita blow up in their face na kuwa complicit to bury the case.
Mkewe now yupo kwa wakati mgumu sana kwa familia ya mume lazima ianze mchukia na kumwambia ampe talaka mke huyo hana akiliHa ha ha!
Mke wa Dugange angekuwa mvumilivu haya yote yasungetikea.
Ila wataumbuka tu muda ukifikaSerikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.