Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Ccm ni kawaida yao kuficha mambo gizani
.
Hata kipindi kile Jiwe anaumwa tuliambiwa mara amepata vimafua kidogo, tukaambiwa yupo ofisini anapiga kazi kama kawaida lakini kumbe alikua mzena anapigania uhai wake.
 
Swali lako la kwanza, ni kweli si sahihi kutumia gari ya serikali kwenye harakati binafsi haswa kama anazotuhumiwa nazo

Swali la pili, si sawa ni lazima uwajibikaji na majibu yapatikane ila ishu niliyonayo mimi kwenye kutaka kuelewa ni kwanini huyo dada kahusishwa moja moja na hii ajali na si mtu mwingine!!? As if kuna watu wana uhakika wa moja kwa moja, je huyo muheshimiwa kama alikua na mwanamke mwingine kwenye gari na si huyo dada kama wanavyo shutumu!!?

Sijui kwanini wa cover ila najaribu kutomuhusisha huyo dada na hiyo ajali labda mpaka uchunguzi ufanyike ila sio kuhukumu moja kwa moja

Bahati mbaya wengi hawajanielewa tangu awali, ni hisia zangu zisizo na ushabiki wowote kama watu walivyo egemea kwenye fumanizi zaidi na kuwaunganisha hawa watu moja kwa moja.

Kweli kuna huyo dada wa chuo kapotea na kupatikana akiwa hana uhai bila taaharifa za kina ila sizani kama ni sawa kumuhusisha moja kwa moja na ajali hiyo, pengine hakuwemo humo kwenye ajali
Kwenye hiyo ajali waziri alikuwa na mwanamke au hakuwa na mwanamke ?
 
Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Kuna mtu alisema jamaa anaongoza watu walio smart kiakili kuliko yeye.
Mwanamke akikufumania Ni Jambo la kujisifia, kwamba pamoja na Moto unaomplekea, bado una nguvu ya kuwapelekea wengine.
 
Umenena sawa. Katika hili, Serikali inajipaka matope kama yanenwayo ni kweli. Sioni sababu ya kuficha mazingira na sababu za matukio yote mawili. By the way, zama zimebadilika sana kwani wote wawili wana ndugu marafiki na maadaui,hivyo ni vigumu kuzuia taarifa
Hivi kwa nini Wanamlinda Waziri Malaya? Serikali isipende kubeba lawama zilizo wazi kabisa
 
Dodoma imegeuka sodoma, watu wanamengenyuana tu - ndugu kama una mke ama mume Dodoma na wewe upo dar, umekwisha 😀 😀 ndoa nyingi zipo mashakani kwenye hiki kipindi cha mpito cha kuhamia Dodoma.
Vyuo vya dom ni kama madanguro

Kama mtu binti yake yuko huko

Na hajielewielewi atakazwa sana

Ova
 
Kwenye hiyo ajali waziri alikuwa na mwanamke au hakuwa na mwanamke ?
Mimi sijui kama alikua na mtu yoyote ndani ya gari au hakua nae! Na siwezi lazimisha mawazo yangu kukubali kua alikua na mtu wakati unaweza kuta hakua na mtu and vise_versa

Sipo kwenye kutetea maana na mimi nimesikia minong'ono tu kama wewe, au pengine wewe una taharifa za kuaminika utupe taharifa hizo!

Hivyo ni muhimu uchunguzi uchukue nafasi kujua wahanga wa ajali hiyo, pia uchunguzi mwingine kwa nafasi yake uchukue nafasi kwa mwanafunzi aliepotea nakupatikana akiwa marehemu ili kubaini kilichomfika kwa nafasi yake

Ila kumuhusisha huyo dada na fumanizi sioni kama nisawa pengine hakua kwenye harakati hizo, huyo muheshimia hata kama anashutuma hizo inawezekana kweli au sio kweli pia na haitoi tafsi kua alikua na huyo mwanachuo, kunawezekana alikua na mwanamke mwingine yoyote tofauti na huyo anae shutumia nae

Hivyo mnaweza mkawa mnakomaa na huyo mwanafunzi na kumpoteza muhusika halisi alie kwenye tukio
 
Basi tuwape benefit of doubt wale wanaodai alikuwa na mtu mpaka tujiridhishe kuwa hakuwa na mtu.
 
Basi tuwape benefit of doubt wale wanaodai alikuwa na mtu mpaka tujiridhishe kuwa hakuwa na mtu.
Pengine hapo ndipo niliposhindwa kueleweka tangu awali! Sikuegemea kwenye kuhitimisha kua huyo mwanafunzi ndio muhusika na nachukulia kama kumdhalilisha kumuhusisha na swala hilo maana kunauwezekano akawa kakutwa na makubwa huko alipo kua kukawa na ishu tofauti, na hata huyu muheshimiwa kunauwezekano alikua na mtu kwenye bila kujali ni mwanamke au mwanaume hivyo akakosa kutambulika kwa sababu ya kumuhusisha huyo mwanafunzi
 
Kwanini watu wanamhusisha na binti huyo tu na si mwingine ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km wanaume wenyewe ndo hawa wanaokimbia fumanizi na kutoa uhai wa wengine huku yeye akiwa majeruhi hapanaa kwa kweliii.

Siweziiiiiiii
Alikuwa anamwokoa jmn, wewe ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom