Kwa Nini wafiche taarifa. Taaarifa yeyote nihaki yako kuijua hata kama ni useless kwako lakini Kwa wengine inaweza kuwa na maana.
 
Yaani wewe kifo cha mwananchi mwenzako katika mazingira tatanishi hakikugusi! Au mpaka ndugu yako wa damu yamkute?
 
Hicho kifo cha huyo mwanafunzi natamani ningekuwa ndani ya moyo wa naibu waziri nione mateso anayopitia kisaikolojia wakti huu, ni majuto makubwa sana anastahili councelling.

Naamini usiku akizima taa wodini hujifunika shuka na kulilowanisha kwa machozi, Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu anachopitia.
 
ila tuseme tu cha ukweli, Naibu waziri alikuwa anabilingita na chombo

 
Ikiwa kweli kifo chake kilitokana na ajili maarufu ya April 2023, na watu wanaficha hizo taarifa utangundua kuwa wananchi wanafichwa mengi na watu wapo tayari kuficha uovu ili kulinda heshima ya mtu mmoja aliyeamua kujiaibisha.
Ahaa! Hapa nimeelewa vizuri! Maana comments nyingi zili base kwenye fumanizi ambazo sikuona msingi wake kwa watu kukomalia habari hii! Ila kwa angle hii nimekuelewa vizuri[emoji109]
 
Mimi ningekuwa Rais, ningemfuta kazi huyo Naibu waziri akiwa huko huko Hospitalini.

Hakuna sehemu hii Nchi inafeli kama kusimamia maadili ya utumishi wa Umma, na ndio chanzo cha uchafu mwingi hata ufisadi unaanzia hapo.
 
Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Nadhani ni kulinda taswira yake kama mtumishi wa Umma.

Lakini bado najiuliza mtu wa hadhi yake anawezaje kufanya mambo hayo hadharani? Si kuna sehemu za kukaa VIP, unakuwa wewe na mzinzi mwenzako pekee?

Maadili ya utumishi wa Umma yameporomoka sana.
 
Unataka tujadili huu ujinga au unatoa fursa ya watu kutukana wenzao? Polisi katika taarifa yao wameomba mwenye taarifa kuhusu kifo cha marehemu awapekelee kama unazo wapelekee au tuambie wewe unachojua
 
Wanasemaga mnyonge hana haki mpaka mwenye nguvu apende !! Mpaka ndugu zake marehemu wamekaa kimya !! Jitokezeni please 🙏 !
 
Kulinda taswira yake kama mtumishi BORA wa Umma ??! Hapo bado sijakuelewa vizuri !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…