Wewe unasema umbea, sisi tunasema damu ya mja wa Mwenyezi Mungu inawalilia.
Sasa endeleeni kushupaza shingo.
 
Ila NW lazima ataliwa kichwa wanasubiri uji upoe utando ukae juu
Too late walitakiwa pale pale piga chini mtu mmoja asiharibu serikali lakini bahati mbaya sana Makamu wa Rais ambaye huwa anajionesha kanisani mtu wa Mungu na naamini hivyo na pia naamini anajuwa kilichotokea asingeenda Hosp kabisa bad PR angemuacha abebe msalaba wake mwenyewe. Ila kwa wanafunzi Dodoma mko kwenye hatari sana na hawa wanasiasa lakini mjifunze hamna thamani wala maisha yenu hayana thamani kuna funzo msiwe wepezi kurubuniwa na hawa wanasiasa Dodoma.
 
Huyo mke naye mjinga tu mwanamke gani hujui kama mumeo anachepuka na unaishi naye nyumba moja, unatoka barabarani kufukuzana na mumeo?
Suala la mke wake watajuana wenyewe ila sisi tunataka uwajibikaji na uwazi kwenye hili suala si kufichwa

Nusrat kafia wapi? Maana UDOM, polisi, daktari na mwenyekiti wa kijiji maelezo yanapishana. Jibu tunalo, ila tunataka serikali iwajibike kupitia vyombo vyake waliweke wazi kwa jamii
 
Mpaka sasa naona hii habari iko 50/50

Ova
 
Click to expand...
Suala la huyo binti watu wanatafutia kiki. Familia ya huyo msichana iko kimya lakini wanasiasa uchwara wanavalia njuga! Hivi nyie mna uchungu kuliko wazazi wake? Huyo msichana ameuawa? Kufa ni jambo la kawaida hata kama alikuwa mpenzi wa waziri kwani ni kosa wakati binti ni mtu mzima? Nyie ni mahawara wa huyo waziti hadi muwe na wivu,? Hata kama kafa kwa ajali kwani ameuawa makusudi?

Hili suala setikali haitakiwi hata kuwajibu wapuuzi hao waliofilisika kisiasa sasa wamebaki kuparamia kila tukio. Ingekuwa familia ya binti ndiyo inalalamika hapo imgekuwa sawa kufanya uchunguzi.
Kila mtu ana maisha yake binafsi bila kujali nafasi yake katika jamii.
 
Haswaa! Watu wanakomalia hii ishu kiushabiki na wengi wanaegemea kuidhisha fumanizi badala ya ajali! Na hata kama alikua kwenye ajali au ni kweli alikua anatembea nae ndio iweje sasa
 
Loh!
 
Data za Chuo gani?!!!!!!!!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„
 
Mkuu usijipe moyo kuwa ajali ni ajali, business as usual.
Kuna mambo ya msingi haoa.

Kwanza binti mdogo mwanafunzi karubuniwa kimapenzi na mtu ambaye ni kiongozi.
Kiongozi pia ana dhamana ya kulea jamii
Pili binti akaja fariki katika mazingira ambayo hayaekezeki.
Tatu usichukulie poa kwamba wazazi/ndugu wako kimya, utaja kumbuka , na nakuonya tu.
 
Binti mdogo ana miaka chini ya 18?
ZInaa kati ya watu wawil waliokubaliana ni halali hata wewe hapo unazini.

Sio jukumu la kiongozi kulea jamii. Jukumu la kulea ni la wazazi na waalimu.

Eti karubuniwa! Hivi demarcation kati ya kurubuniwa na kukubali kwa hiyari kwq mtu mzima unaweza kuionyesha.

Waislamu wanapokuja na hoja tufanye zinaa kuwa kosa la jinai nyinyi ndio wa kwanza kupinga lakini hapa unashutumu.

Kama kulalamika angelalamika mke wa huyo waziri na siyo mtu mwingine.
 
Tanzania inatakiwa ipate kiongozi ambaye jukumu lake la kwanza ni kuibomoa sanamu inaitwa tissue..baada ya hapo Tanzania itakuwa nchi nzuri, sababu itapata viongozi wenye hofu ya Mungu na watu waliowachagua, sarakasi za aina hii hazitatokea!
 
Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Kelele mkuu hawa wakina mama wamejaaliwa hiki kipaji,, chukulia mh. waziri anakuja kupigiwa kelele za kufumaniwa na mtoto wa shule.. lazima ukimbie kama chizi
 
Serikali mwacheni mzinzi abebe mzigo wake!! Kwa taarifa yake tu ni kwamba Yesu anasamehe dhambi na kuokoa!! Yesu alisema "Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa mizigo nami nitawapumzisaha-Math 11:28"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…