Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
mmeo ni public figure unamuanzishia aibu ili asubuhi iweje? Au ndio ndoa imefika ukomo.?

Dear married women/men mambo yenu muyamalizie home usipende kumjazia mtu nziiii, ukiona imeshindikana omba talaka.
Unayajua madhila anayokutana nayo mwanamke mwenzio ..

Kuna moment zikifika huwa ni final.no return..

Stop judging..hayajakukuta.
 
Ndio haohao wamefikia level ya kukataa kuoa sasa....maana kukimbia hawawezi
Haki mimi napenda mwanaume mwenye upendo ila mkali mkali, mwanaume ambaye akiongea kila kiumbe kinatulia kumsikiliza, mwanaume mwenye akili nyingi, mwanaume imara sio mwanaume poyoyo wa kukimbia majanga na majukumu au wa kulialia vitu vidogo
Na mwanaume wa hivi lazima awe mtafutaji, asiyeshindwa kumanage mambo ya nyumba yake
Aisee wewe Ni Mimi,awe na heshima na upendo Ila awe na sauti na awe ana uwezo wa kukabili matatizo...Yaani mwanamme unakimbie eti,jamani tuombee sana Hawa waume zetu
 
Uzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?

Wewe unajua mumeo ni naibu waziri, unakuja kumfumania hadharani ukitegemea akae hapo ili umfumanie apoteze kazi yake, aaibike mbele ya watoto wake na akitoroka sio mwanaume.

Ukiona mwanamke anaamka ndani kwenda kumfumania mume wake wa ndoa yaani baba wa watoto wake kwa style ya kumuaibisha ni wazi kabisa huyo mume alishafeli kwenye nafasi yake kama mume

MWANAUME ukiwa MUME kweli ndani ya ndoa yako mambo kama haya huwezi yafanya kama boya, na mkeo hawezi ruhusu hata jirani ajue udhaifu uliotokea. Atashughulika kwa hekima, asipokuombea🙏 na kutafuta kuzuia kwa kupunguza chances za wewe kufanya yanayotokea atakuloga😂

Uzinzi kitu kibaya sana lakini kuutangazia umma wakiwamo watoto kwamba mume ni mzinzi sio dawa.

Ona sasa, uzembe wa Huyu mwanaume mzinzi unampelekea kuaibishwa, kupteza ndoa na akifa watoto wamepteza baba
 
Kula tu mbususu ila uwe makini sana [emoji28][emoji28] siunaona huyo waziri ka trend Kwa mambo machafu ya zinaa badala ya ku trend Kwa kufanya kazi
Huyo kajitakia mwenyewe waziri nasumbiliajwe na mke. Wapo wanawake wengi ambao would jump at the oportunity ya kuwa mke na kuniruhusu kuwa na mcheps
 
Boss, Huyo waziri tumpige mawe kwa matumizi mabaya ya kodi zetu maana hilo gari linatumia rasilimali za serikali.

Hayo mengine ni rahisi sana kusema ninge, ninge, ninge ila utakalofanya utalifanya na huenda siyo hilo unalosema sasa kuwa ungelifanya.
Kwenye kutumia gari la serikali amekosea sana.
Ila mengine hayo namlaum maana kashindwa kuyasolve kiume..........anyway!!
 
Uzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?

Wewe unajua mumeo ni naibu waziri, unakuja kumfumania hadharani ukitegemea akae hapo ili umfumanie apoteze kazi yake, aaibike mbele ya watoto wake.
Mwanamke akisikia mumewe ana mchepuko somewhere, hata Kama ana PhD, kwa muda huo anakua Hana chembe ya busara.
Halafu ukute mke ana sifa nzuri (labda dakitari au mwalimu au mkurugenzi halafu chura imo) asikie mume anatembea na kisokolokwinyo!!! ?
 
Macho ya wizi tu.
Screenshot_20230428-093108.jpg


Hapo alikiwa akiuangalia mchepuko
 
Uzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?

Wewe unajua mumeo ni naibu waziri, unakuja kumfumania hadharani ukitegemea akae hapo ili umfumanie apoteze kazi yake, aaibike mbele ya watoto wake.
Mkewe kafanya sahihi kumfumania maana cheo na hela zimemzuzua akakosa maadili Wacha avune aibu Sasa,
 
Aaaaah aaah sijasema mkeo anatakiwa kujua,mkeo hatakiwi kujua,Ila ikitokea anajifanya FBI na katokea kwenye eneo la tukio yaani inatakiwa kukaza kiume,unaweza hata kumwambia kwa Nini anakuafuata kwenye vikao vya kibiashar😂😂😂mnakwama sana wanaume wa sasa
Kweli tunakwama sio uwongo.
Kwanza mke wangu anapata wapi ujasiri wa kuanza kunisaka?
U have money alafu unakuwa na matatizo ya wanawake.....aisee huo ni uninga wakupigiliza.
 
Sipendi wanaume dhaifu hivyo,alitakiwa asimame na ampige biti mke wake kumfutilia na aampe oda dakika tano nikukute nyumbani tutaongelea hili![emoji41][emoji41][emoji41]

Wanaume siku yeyote ukibambwa mbele ya umma unatakiwa kuwa jasiri msamaha utaombea chumbani,ukijifanya lelemama mbele ya umma lazima uaibike yaani,lazima

Sasa eti unakimbia Hadi unaangusha gari unaua mtu,na wewe mwenyewe uko taabani,mwanaume gani Sasa huyu?
Umenifundisha kitu kunywa [emoji481] mbili hapo Kwa Mangi
 
Huyo kajitakia mwenyewe waziri nasumbiliajwe na mke. Wapo wanawake wengi ambao would jump at the oportunity ya kuwa mke na kuniruhusu kuwa na mcheps
Ila Mungu kamuumbua itakuwa umalaya mkewe ulishamchosha Sasa atajiuguza na kuwa mpole nyumbani [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom