Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Kufa au ajali ni matokeo. Hakuwa anakimbia ili afe au apate ajali.
Ujinga ninaoona kaufanya ni kutumia kodi zetu kubeba michepuko. Ila hilo la kustarehesha mwili wake ni suala lake na Mungu wake maana hatujui anayopitia kwenye ndoa yake au huenda ni malaya tu, ni suala binafsi. Kuhusu kukimbia huenda ni reaction iliyotokea labda mke alikuja na waandishi.
Mimi siongelei gari,
Mimi naongelea udhaifu wake kwenye ku handle matatizo Kama mwanaume...Sasa kumdeal na wife tu kafail je kudeal na wizara anaweza kweli.
 
Sipendi wanaume dhaifu hivyo,alitakiwa asimame na ampige biti mke wake kumfutilia na aampe oda dakika tano nikukute nyumbani tutaongelea hili!😎😎😎

Wanaume siku yeyote ukibambwa mbele ya umma unatakiwa kuwa jasiri msamaha utaombea chumbani,ukijifanya lelemama mbele ya umma lazima uaibike yaani,lazima

Sasa eti unakimbia Hadi unaangusha gari unaua mtu,na wewe mwenyewe uko taabani,mwanaume gani Sasa huyu?

Wanaume wengi viatu haviwatoshi
Mwanaume lazima awe imara katika hali zote
Sasa mwanaume anafanya majanga halafu anakimbia si aibu hiyo
 
Malay wadangaji wote wanaenda dom
Kuwavizia waheshimiwa...
Mh akiona dem tk kubwa lazima apagawe [emoji1]
Any way pole yake

Ova
 
acha utani wewe fumanizi lisikie kwa jirani
Yule ni waziri ana cheo ilibidi ajisimamie amwambie nina kikao kuna watu nawasubiri kukutana hapa hotelini.

Anamwambia wifeningia kwenye gari chapu anamtext rafikia yake amoigie simu akimuihitaji haraka. Hapo ndo atampeleka wife home na kurudisha gari la serikari ofisin........simpo laiki zati.

Itoshe kusema baadhi ya wanaume wanapitia maisha magumu. Hapo ikite wife wake hampi mwezi wa pili sasa, waziri kaamia isiwe shida ndo yanamkuta haya.
 
Wanaume wengi viatu haviwatoshi
Mwanaume lazima awe imara katika hali zote
Sasa mwanaume anafanya majanga halafu anakimbia si aibu hiyo
 

Attachments

  • 19377E20-4747-4A00-8D23-D20C31AED098.jpeg
    19377E20-4747-4A00-8D23-D20C31AED098.jpeg
    31.7 KB · Views: 4
Ulikuwa unalea? Ulipotea sana.

Ni kweli, wakome umalaya, sema mtu ukiwa na pesa, stress ndogo huna, hakika kuchapa nje hakukwepeki.

Aibu yake!!
Nipo jamani ubusy tu wa hapa na pale but I'm back
 
Back
Top Bottom