Ngisibara
JF-Expert Member
- Jan 2, 2009
- 3,387
- 2,245
Kaitia hasara serikali... dude lote ana liangusha na halina bima
Mkuu sema katutia hasara walipa kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaitia hasara serikali... dude lote ana liangusha na halina bima
Kingereza kimekushindaVere pesono ahahaha
Wana kichaa wasemao hivyo.
n.k
- Gari aliyotumia ni ya kwake au serikali?
- Ukomo wa serikali kumuhudia naibu waziri ni saa ngapi?
- Nyumba anayoishi naibu waziri, ni yake binafsi au ya serikali?
U-pesono unatokea wapi kwenye VIEITEEE yetu?
Utakua umeshajua tunacho kifanya hadi mvua ikatike.....😜😜Hahahahaaa Mpwa na mvua hii hujatoka home? Una hatari saanaa
Sasa huoni Kama kazidisha level ya aibu?ilikuwa ya kimkoa Sasa umekuwa ya kimataifa?Huenda alikuwa hamkimbii mke ila alikimbia aibu mke aliyokuwa anadhamiria kumletea ukizingatia nafasi yake katika jamii.
Kitendo cha tetesi kuwa ajali imetokana na mbio ili asifumaniwe inaonyesha fumanizi liliandaliwa liwe viral. Otherwise tetesi ingeishia kuwa ajali imehusisha waziri na mwanamke ambaye hajatambulika.
Kukimbia ni reaction ambayo huenda ilitokana na mazingira ya hilo fumanizi mke alilomwandalia. Tetesi haijasema mkewe alikuwa anakuja kumfumania kwa mtindo upi, na kina nani, waandishi wa habari walikuwepo? Haijulikani.
MkimuyanguKwangu mimi nailaumu imani yake, ndiyo inayomfunga na Imani yake,Waisilamu wameruhusiwa kuowa zaidi ya mke mmoja, lakini wakristo wamekatazwa na wazungu, ila wanamichepuko
Hivi Bima wanafidia magari yaliyopata ajali kwa uzembe?!Ninavyojua mahari yote ya serikali Yana bima kutoka TIRA
Umenikumbusha nilivyo pangua kesi ngumu sana hapa ndani miaka ileeee....🤣, haya chagua wapi ujengewe medani ya heshima...😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwambie Kuna wakati mwanaume lazima awe baba!Sasa baba gani Kama huyo waziri analeta aibu kwenye familia na Taifa kwa ujumla,wakati angesimama piga biti moja Kali sana wife angetangulia nyumbani unadhani nyumbani asingemuelewa?lazima mwanaume uwe na medani bwana sio unakuwa bwegebwege tu
Gari ikipata ajali ni jambo lingine.Hivi Bima wanafidia magari yaliyopata ajali kwa uzembe?!
Wamejihukumu wenyewe Kwa umalaya na kutumia gari lililonunuliwa na kodi za walalahoiUsiwahukumu mkuu.
🤣🤣🤣🤣🤣Pale Nyerere square ang'olewe yule mzeeUmenikumbusha nilivyo pangua kesi ngumu sana hapa ndani miaka ileeee....🤣, haya chagua wapi ujengewe medani ya heshima...😊
Usiseme watu, sema mafisadi wa ccm wanakulana sanaila Dodoma watu wanakulana sanaaa
Kufa au ajali ni matokeo. Hakuwa anakimbia ili afe au apate ajali.Sasa huoni Kama kazidisha level ya aibu?ilikuwa ya kimkoa Sasa umekuwa ya kimataifa?
Sio mwanaume shupavu nakwambia.