Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mapens mabaya aisee. Mi ndio maana sipendagi kuwekeza kwa mtu tupendane hivyo hivyo bila kutiana shoti. Unampa mtu mavitu ya gharama ili atulie asihangaike mwisho anakusaliti na kiburi juu. Naweza kuishia jela kwa hizi hasira za KishanaInawezekana yote hayo alikuwa anaweza kuyafanya..
Ila nadhani unajuaga Mapenzi yakiamua kukupeleka speed namna inavyokuwa..
Unaweza kufanya vitu hata haviko Duniani...Baadaye unaanza kujishangaa