Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Utaratibu wa gari lake ni nini?uzinzi sio kitu Cha serikali kosa ni kutumia gari maana hata angenyimwa gari angetaka kuzini angezini tu.Kwa hiyo ondoa uzinzi.
Hapana sikubaliani na wewe mkuu, kosa lake ni kutumia gari la serikali kwenye uzinzi. Yani katumia gari kwenye mambo amabyo sio ya kiserikali. Akipona watamshataki kwa uhujumu uchumi.
 
Sa
Kuingia mraani kwa katiba ya sasa ni kujitakia majanga tu.
Katiba ikiwa na haki zetu inakuwa rahisi kutinba mtaani na kionzozi anang,'oka kweli!!!¡
Sasa unafikiri bila kuingia mtaani hata hii katiba ya sasa itabadilishwa? Watu hatutaki kulipa gharama za mapinduzi mapya. CCM ni lazma waonyeshwe wazi wazi kuwa wamechokwa na style yao ya uendeshaji nchi. Kama hakuna mbadala nchi ikabidhiwe kwa jeshi la wananchi tu.

There is one and only way nayo ni kuingia front na bonge la strike. Hawawezi pambana na raia wote wakawaua. Ratio ya 50M residents against 250K police force. Hapo ndipo maridhiano yatapatikana na suluhu ni katiba ambayo inawapa nguvu raia dhidi ya watawala.

Ila kwa style hii ya kutegemea katiba kama hisani tutasaga sana rumba.
 
Back
Top Bottom