Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
... mbona juzi tu hapa walikuwa kwenye semina ya muda mrefu tu Arusha wakifundwa ... Ha ha ha! Hii nchi hii; as long as CCM is in power tusitegemee lolote kwa aina hizi za viongozi.
Labda hawakufundishwa namna ya kuhandle tamaa za mwili zikiwaka 🤪

Huyo Naibu Waziri alipaswa amtume hata mtu wa Uber/Bolt akamfate mgeni wake kama hakutaka Dereva wake ajue.

Ingawa najua Dereva wake ndiyo angekuwa Msiri wake kwani najua amesoma VIP pale NIT
 
Back
Top Bottom