johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa ni RCMbona Kuna naibu waziri aliwahi kuibiwa mamilioni na changudoa hotelini akadai majambazi walimvamia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ni RCMbona Kuna naibu waziri aliwahi kuibiwa mamilioni na changudoa hotelini akadai majambazi walimvamia.
... pumbavu kama hilo na lenyewe likiwa jukwaani utasikia linahoji kwa kufoka; katiba mpya italeta ugali mezani? Foolish!Tunataka katiba mpya! 😁
Alikuwa?... eti huyu naye alikuwa kiongozi tena waziri! Nchi itapate maendeleo kwa aina hii ya viongozi? Serious? CCM mna laana!
Hii ingekuwa kwa Mataifa wanao jitambua ni bonge la kizaazaa yaani raia wanaweza timba mtaami, Bongo hapa tuendelee kulalamikaVery personal !!!!a public servant being unfaithful and unethical by committing extra marital affairs using government vehicle financed by tax payers' money!!
Tena aliibiwa pesa za kigeni zaidi ya $1,000 na milioni kadhaa za madafu, na bunduki ikaibiwa.Mbona Kuna naibu waziri aliwahi kuibiwa mamilioni na changudoa hotelini akadai majambazi walimvamia.
Hii ilitokea awamu ya ngapi mkuuTena aliibiwa pesa za kigeni zaidi ya $1,000 na milioni kadhaa za madafu, na bunduki ikaibiwa.
Nakumbuka hiyo habari ilizimwa kimtindo na leo hii jamaa ni RC
Atapindisha stori na kudai alikuwa anawahi ziara Iringa tairi gari ikakosa mwelekeo.Tumuombee apone haraka ili aje atueleze nini kilimsibu!
Kuingia mtaani kwa katiba ya sasa ni kujitakia majanga tu.Hii ingekuwa kwa Mataifa wanao jitambua ni bonge la kizaazaa yaani raia wanaweza timba mtaami, Bongo hapa tuendelee kulalamika
Awamu ya nne, msoga regime.Hii ilitokea awamu ya ngapi mkuu
Awamu ya 4Hii ilitokea awamu ya ngapi mkuu
Kwenye michepuko mbona hata waislamu wanayo.Kwangu mimi nailaumu imani yake, ndiyo inayomfunga na Imani yake,Waisilamu wameruhusiwa kuowa zaidi ya mke mmoja, lakini wakristo wamekatazwa na wazungu, ila wanamichepuko
Usiwahukumu mkuu.Wakome umalaya