Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Tukidai katiba mpya huwa tunaonekana mazuzu, , haya sasa ni matokeo ya katiba mbovu. Huyo kapata ajali ndio tumejua wangapi wanafanya haya?

Tungekuwa na katiba mpya tungeweza kuwa na sauti ya kusema, walau viongozi wasipewe tena magari ya serikali maana mengi yanashinda gesti. Dude la thamani ya zahanati hata nne ,limeangushwa kizembe namna hiyo halafu kama hakuna kilichotokea!! na wananchi tunaishia kulalamika tu hatuna cha kufanya.
 
Back
Top Bottom