Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Mkewe aache kufatiliafatilia kama haja nao Michepuko mpaka ndani shida haipo.Wanaume ndivyo tulivyo!Atakuja kumuua kwa mshitukoo.....kakimbiza gari hivyooo mh!mshimiwa anamwogopa mama watotooo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka nchi wakabiziwe Wana jeshi ili yatukute ya Sudan [emoji848]Sa
Sasa unafikiri bila kuingia mtaani hata hii katiba ya sasa itabadilishwa? Watu hatutaki kulipa gharama za mapinduzi mapya. CCM ni lazma waonyeshwe wazi wazi kuwa wamechokwa na style yao ya uendeshaji nchi. Kama hakuna mbadala nchi ikabidhiwe kwa jeshi la wananchi tu.
There is one and only way nayo ni kuingia front na bonge la strike. Hawawezi pambana na raia wote wakawaua. Ratio ya 50M residents against 250K police force. Hapo ndipo maridhiano yatapatikana na suluhu ni katiba ambayo inawapa nguvu raia dhidi ya watawala.
Ila kwa style hii ya kutegemea katiba kama hisani tutasaga sana rumba.
Labda alikuwa amebeba bastola huwezi just.Mungu amsaidie apone
Kwanini anamuogopa mkewe ivo?
Sasa utawala wa kiraia ambao raia flani tu wana privilege wengine mnakuwa kama wakimbizi una raha gani?Unataka nchi wakabiziwe Wana jeshi ili yatukute ya Sudan [emoji848]
Hapana tunataka utawala wa kiraia wanajeshi wabaki kambini
Naona umeamua kuedit[emoji2][emoji2]Wapi nimeandika $1,000 ni hela nyingi..[emoji848]
Haya avune alichopandaUbaya gani sasa,mwanamke anamfatilia Mwanaume kila sehemu
Sa
Sasa unafikiri bila kuingia mtaani hata hii katiba ya sasa itabadilishwa? Watu hatutaki kulipa gharama za mapinduzi mapya. CCM ni lazma waonyeshwe wazi wazi kuwa wamechokwa na style yao ya uendeshaji nchi. Kama hakuna mbadala nchi ikabidhiwe kwa jeshi la wananchi tu.
There is one and only way nayo ni kuingia front na bonge la strike. Hawawezi pambana na raia wote wakawaua. Ratio ya 50M residents against 250K police force. Hapo ndipo maridhiano yatapatikana na suluhu ni katiba ambayo inawapa nguvu raia dhidi ya watawala.
Ila kwa style hii ya kutegemea katiba kama hisani tutasaga sana rumba.
Ulikuwa unalea? Ulipotea sana.Wakome umalaya
Sinaga utaratibu wa kuhofia ninacho kiamini.Naona umeamua kuedit[emoji2][emoji2]
Kama kashindwa kumcontrol ndani unadhani atamuweza nje. 😀Yani mie sielewi hivi inakuwaje Mwanaume mzima unashindwa kum comtrol Mwanamke hadi akufuate fuate.
Mke akiwa mtata lazma uingie ubaridi maana wengine hawana aibu anaweza kukujazia nzi. 🤣Mungu amsaidie apone
Kwanini anamuogopa mkewe ivo?
Nadhani jamaa anadhania aliibiwa juzi. Aliibiwa miaka kumi na moja iliyopita. Ni muda kidogo.Sinaga utaratibu wa kuhofia ninacho kiamini.
Okay, ngoja niiweke hivi....
Mwaka 2012 $1,000 ilikua fedha nyingi sana kwangu.
Are you happy now...😊
Siyo yote yana Bima...Ninavyojua mahari yote ya serikali Yana bima kutoka TIRA
Uislam mwema sana, angekuwa Muislam angekuwa na mke zaidi ya mmoja kihalali kabisa.
Hakika, kila msiba ni mawaidha kwa tulio hai.