mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hakuna migongano , men are by default pollygamistMigongano katika ndoa ndiyo inapelekea watu kwenda off road
KabisaAngeenda na Tax
Lete Maneno.......Kama ni kweli Nampa pole sana.
😁😆😆😅😅Na wewe mbona umeandika Kwa spidi Kali kama huyo naibu?
Una utani na wahaya, ngoja waje wakutolee povu😂😂Sio MTU wa poti. Anatokea maeneo Yale ambàko wanaume wanapika na kusugua masufuria.
😂😂😂😄😄😁😁😆😆😅😅Una utani na wahaya, ngoja waje wakutolee povu😂😂
Tangu Suleiman siyo😆Hata kama hakuna migongano , men are by default pollygamist
Mwanaume atabaki kuwa mwanaumeee tu.. Kama mpaka Rais anakuwa na kimadaaa ndo mawazirii acheni kumhukumu jamaaa Ajali imetokea bahati mbaya tuu.Mi habari za michepuko naona ushamba tu kuna vitu unaweza kuvunga tu ili uwe na maendeleo makubwa kujipa heshima katika jamii.
Mfano; Wewe ni mkuu katika Taasisi au kiongozi katika nyanja yeyote ila then wale walioko chini yako unawatongoza wakati unajua kabisa umeshaoa ...Hii haileta picha duniani kuna vingi tunatamani hata maendeleo ila tupo limited hata ukiwa na wanawake wote na pesa kama Musk bado utafuta tena hii ni asili ya binadamu.
Binadamu aliyecontrol tamaa zake na kuridhika ni mbora zaidi ,Greedy ni kawaid ila unaweza kulind heshima.
Baadhi ya viongi wanaiba mabillion ila wakija kustaafu au kufa unasikia familia zao zinapata tabu mara mikopo bank
.Kumbe zile pesa ni kubudumia mahawara na kuwapa jeuri na life style ya hanasa ..
Imagine dunia ya sasa ukiwa na watoto wako na ndoa basi ushamaliza kweny ishu to ya mapenzi then angalau maendeleo ya wanao sijui mambo madogo kama hayo unakuja kuvunja ndoa then watoto wanateseka kwa ujinga ambao unaweza kuepuka.
Inasikitisha sanaNa pia ametuingiza hasara ya kununua gari lingine na gharama za matibabu, tozo/kodi za wananchi zita cover hizo expenses.
Ahaa hapo sawa nimekuelewa sasa mkuuKumbe hukunielewa ,
Swala la kuoa au kukaa na mwanamke bandit has a lot to do with men weakness, ukiwa smart mwanamke mbabe anajulikana kwenye hatua za mwanzo kabisa ,
Huyu wa kukaa miaka yote hiyo alipitia vetting kadhaa na nikajiridhisha kuwa nipo safe kwenye hiyo angle ya kunipanda kichwani
Hapa Katiba Mpya inahusikaje? Mh.alikiwa Ziara ya kikazi 🤣🤣Tukidai katiba mpya huwa tunaonekana mazuzu, , haya sasa ni matkeo ya katiba mbovu. Huyo kapata ajali ndio tumejua wangapi wanafanya haya?
Tungekuwa na katiba mpya tungeweza kuwa na sauti ya kusema, walau viongozi wasipewe tena magari ya serikali maana mengi yanashinda gesti. Dude la thamani ya zahanati hata nne ,limeangushwa kizembe namna hiyo halafu kama hakuna kilichotokea!! na wananchi tunaishia kulalamika tu hatuna cha kufanya.
Safi sanaInasemekana alipasuka kichwa na biashara imeishia njiani akikimbizwa MOI
Mwigulu aliongea hata juzi Kanisani kwamba ni kosa kudhani viongozi Wana maadili akisema Viongozi wengi ni watovu wa maadili.Hili halishangazi maana serikali inaongozwa na kundi la watu wasio na maadili kuanzia wizi wa kura, ufisadi na ufuska
🤪🤪😁😁😁🤣🤣🤣😂😂Afe kabisa,mala ya mkubwa huyu.
Kama namuona mke wa waziri anavyo tabasamu😂😂Safi sana
Ni Dr kabisa by professional na Mbunge wa Wanging'ombe.Kumbe ndio huyu niliskia madaktari wenzake wakiongea yeye kugombea sikujua kuwa ni Dr by profession, Ina onyesha mshamba kavamia fani ya uchepukaji kichwa kichwa awaachie wazoefu