Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Amerika na ulaya kashfa za kimapenzi zinaweza kukuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa umma. Kule hakuna utetezi wa hayo ni mambo binafsi ya faragha. Tena wanaweza kufuatilia nyendo zako za kimapenzi hata kabla hujawa kiongozi uliishije na mahusiano hayo. Huku kwetu jitu lina michepuko isiyohesabika na watoto lukuku likigombea uongozi linapata na linaendelea na tabia yake ya kuchepuka
Kazi na Bata !! Ukimuona na King’asti chake tazama pembeni !!
 
Toka maktaba :

23 December 2021
Bariadi, Tanzania

Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange, akistukia matumizi mabaya ya fedha za umma ..

1682688274796.png

Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya, Festo Dugange, amebaini ubadhilifu wa fedha baada ya kufanya ziara ya kukagua ujenzi wa hospitali ya Bariadi vijijini, ambapo ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi ili kubaini ni wapi fedha hizo zimekwenda.....
 
Back
Top Bottom