The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tanzania 🇹🇿 Nchi maskini miji huwa ina hama.haiwezi kukua kwa pamoja. Dom itaipiku Dar huko mbeleni. Bahari siyo lolote hata mombasa kuna bahari lakini Nairobi ni ya motoKumbuka Dar na Mwanza ni Majiji ya Kibiashara. Capital city inakuwa na majengo mengi ya taasisi. Mara nyingi Majiji ya kibiashara ndiyo yanakuwa maarufu zaidi ya Capital city! Hiki ndicho kinanipa uhakika Dodoma haitakaa iipiku Mwanza au Dar. Maana kama magorofa makubwa hata Mwanza yaoo yanajengwa, vyuo vikki vinajengwa kama uyoga. Hotel ya Nyota ipo ya nssf inajengwa pale karibu na chuo cha bot
Inategemea mkuu kuanzia laki5_m1!Bei gani?
Sawa,type jina la apartmentMlimwa C nina apartment mje mniungishe basi wakuu 😀
Kuanzia Bei ganiMlimwa C nina apartment mje mniungishe basi wakuu 😀
Jina hujatajaMlimwa C nina apartment mje mniungishe basi wakuu 😀
...mkuu growth rate ya dom ndio ipo slow ukilinganisha na uwekezaji uliofanywa na Gov toka miaka ya 1980s...toka enzi za sijui ikiitwa CDA walikuwa wanapata pesa nyingi sana kuliko mikoa mingi...ungekuwa ni mji wenye growth rate kubwa ungekuwa mbali sana...hiyo pesa ingewekwa Mwanza au Arusha tungekuwa tunaongea mengine now...growth rate ya haraka inaletwa organically na watu wa eneo husika kuchangamkia fursa na rasilimali za asili za eneo..hivi vimekosekana dom kwa muda..so utakuwa kama makao makuu lakini sio kibiashara!Growth rates yake ni ndogo
Lakini mkuu,growth haiji hivi hivi lazima kuwe na sababu ya kuvutwa watu kule. Hiyo miaka ya 1980s kulikuwa na kitu gani cha kuvutia watu waende huko Dodoma? hakukuwa na vyuo,hakukuwa na ofisi za serikali,hakukuwa na mgodi wa dhahabu, hakukuwa na shule nyingi na wenyeji wa hapo ni wavivu, mkoa ungeendelea vipi? Dodoma kiukweli isingekuwa Magufuli bado pangekuwa pa kawaida sana. Kuna maeneo Dodoma miaka ya 2010s palikuwa pori kabisaa na ni jirani na mjini,ila sasahivi kiwanja hupati, viwanja watumishi wamechukua wamejenga, la sivyo pangekuwa pori hadi sasahivi. Pia angalau uwepo wa UDOM ulichangia angalau idadi ya watu kuongezeka, laiti kama serikali ingehamia Dodoma miaka hiyo ya 1980s na vyuo vikuu vingejengwa huko tangu enzi hizo, sasahivi ndo tungeshangaa growth rate yake kuwa ndogo....mkuu growth rate ya dom ndio ipo slow ukilinganisha na uwekezaji uliofanywa na Gov toka miaka ya 1980s...toka enzi za sijui ikiitwa CDA walikuwa wanapata pesa nyingi sana kuliko mikoa mingi...ungekuwa ni mji wenye growth rate kubwa ungekuwa mbali sana...hiyo pesa ingewekwa Mwanza au Arusha tungekuwa tunaongea mengine now...growth rate ya haraka inaletwa organically na watu wa eneo husika kuchangamkia fursa na rasilimali za asili za eneo..hivi vimekosekana dom kwa muda..so utakuwa kama makao makuu lakini sio kibiashara!
Nipe Jina au Link yake.Kuna jamaa yupo YouTube anaonesha hizo prime location kwa Drone with background music ya kibongo 🙌
Acha porojo wewe,hiyo miaka unayosema Serikali ilikuwa inajenga Dar....mkuu growth rate ya dom ndio ipo slow ukilinganisha na uwekezaji uliofanywa na Gov toka miaka ya 1980s...toka enzi za sijui ikiitwa CDA walikuwa wanapata pesa nyingi sana kuliko mikoa mingi...ungekuwa ni mji wenye growth rate kubwa ungekuwa mbali sana...hiyo pesa ingewekwa Mwanza au Arusha tungekuwa tunaongea mengine now...growth rate ya haraka inaletwa organically na watu wa eneo husika kuchangamkia fursa na rasilimali za asili za eneo..hivi vimekosekana dom kwa muda..so utakuwa kama makao makuu lakini sio kibiashara!
Onesha porojo hata moja kwenye hayo maelezo yangu.Acha porojo wewe,hiyo miaka unayosema Serikali ilikuwa inajenga Dar.
Basi Baki huko huko
Eti Dodoma imedumaa Toka miaka ya 80, Serikali ilikuwa inajenga wapi?Onesha porojo hata moja kwenye hayo maelezo yangu.
Ndio useme miaka ya 1980 serikali ilikuwa inajenga nini hapo Dodoma maana majengo yote ya maana yaliyojengwa na serikali yameanza kujengwa miaka ya 2000 kwenye utawala wa Mkapa ambayo ni Bunge na chuo cha UDOM. Utawala wa Kikwete haujajengwa kitu chochote isipokuwa ule ukumbi wa mikutano wa Kikwete ambao ni mali ya CCM. Magufuli ndo alifanya mapinduzi maana haya majengo yote ya serikali yaliyopo sasahivi yameanza kujengwa wakati wake. Wewe mkuu tutajie hapo Dodoma kuna nini serikali ilijenga miaka ya 1980, kitaje mkuu hata kimoja cha maana. Nasubiri majibuEti Dodoma imedumaa Toka miaka ya 80, Serikali ilikuwa inajenga wapi?
Watz wengi waliopo Dar ni wachafu.Tatizo ni nini?
Umetisha muda sana sijakanuaga huko since 2023Sawa sijajua unataka yawe na urefu upi Ili uite ni marefu View attachment 3632600View attachment 3632601View attachment 3632602View attachment 3632603View attachment 3632604View attachment 3632605View attachment 3632606View attachment 3632607View attachment 3632608
Nimekuelewa kaka mkubwaAkili yako imelala, suburia magorofa marefu yakijengwa ndo ukatafure maeneo
Umechanganya postOnesha porojo hata moja kwenye hayo maelezo yangu.
Duuh ndio maana, saivi sio kama ilivyo 2023.Umetisha muda sana sijakanuaga huko since 2023
Dah mbona mimi msafi 😂Watz wengi waliopo Dar ni wachafu.