Vijana acheni mihemko nyie, jengeni hoja! Matusi yanaonesha udhaifu ulionao. Prof Ndalichako ni sawa na mama yakoWewe utakuwa basha wa Ndalichako
Wako sawa kwa kuwa wote ni wateuliweMakonda alisema yeye na Mawaziri Wana cheo sawa.
So tuendelee kuvuna matunda ya Mwendazake.
Unalinganisha shule na jeshi? no wonder unaona maamuzi yanayoathiri ufaulu wa wanafunzi ni sahihi yafuate.Can you imagine anachokifanya ni kosa la jinai ...anawa insight wananchi dhidi ya viongozi wa serikali.. anawaambia wasiwatii mawaziri na maafisa wa serikali wanaokaa maofisini na kutembelea magari yenye AC ( tofauti na yeye anayetembelea Punda.) Last time I checked ata bosi wake wa Tamisemi, waziri mkuu na Rais wote Wana office na gari zao zina AC pia...Mtaka kakosea Sana no matter what people say.. sijawahi kuona kiongozi mkubwa wa serikali akiwahamasisha wananchi kuwadharau viongozi wa kitaifa Kwa kuwasema maisha Yao binafsi..if he stays then waziri wa elimu na Tamisemi should resign otherwise tabia hii itaendelea ambapo kila mkuu wa Mkoa ataamua kuwaambia wananchi wasiwasikilize mawaziri,and then waziri mkuu au Rais .. baadae wao ma RC ndio watakua Bosi kubwa wa mikoa.. mawaziri watakosa sehemu za kutawala na eventually anayewateua...kama angekua na wazo tofauti na Waziri angeshauri Kwa staha tofauti na alivyofanya ... implication ya alichosema ni kubwa Sana..Ila naona watu wanaichukulia poa... alichosema ni Sawa na mkuu wa JKT awaambie vijana wasimsikilize Mnadhimu au CDF Kwa sababu wao wanakaa tuu ofisini upanga wanakula kiyoyozi na watoto wao hawaendi Kambi za JKT na kukaa field kama wao.
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
vijana katika ubora wao wa buku 4Huyu mtaka kwa namna alivyowasilisha ujumbe ni takataka kabisa, serikali gani ya kipumbavu hivi?, why?ngo'ombe anenepe siku ya mnada? Integrity iko wapi?kama anakero zake atumie vikao vya ndani, yuko chini ya Ummy na Waziri Mkuu kashindwa ushawishi au wamemtuma? Makonda mpya huyu pumbavu kabisa hana adabu, kuna hiari na lazima, kama mwalimu wa fizikia, hesabu na kemia hawapo umelisemea, uzoefu wako wa Shinyanga umewashirikisha wizara zote mbili? Sifieni huu utovu wa kinidhamu ila kaongea kichoko sana, hana heshima na kanuni, taratibu, sheria na miongozo.
Tofauti inayoonekana kwa vijana wengi, na ndiyo maana hata ajira zimekuwa ngumu sana, inaonyesha mnaenda shule si kwa ajiri ya kuondoa ujingaFala sana huyu jamaa........yahn wao kuambiwa ukweli kwao kosa .
Mtaka kasema ukweli viongozi waache siasa na shule za kata wakati watoto wao wanasoma mashule ya kueleweka.
In Africa it's dangerous to be right when your master is wrong RC Mtaka kasimama na wananchi na katupa jiwe gizani huu ndo ukweli ambao wananchi wengi wanapiga kelele viongozi pelekeni watoto wenu shule za kataAnaweza akawa RC Bora but huwezi kumshambulia personally waziri ambaye ni cabinet member wa serikali ambayo unaiwakilisha hapo mkoani...analeta umbeya eti mtoto wa waziri anasoma international school,anatembelea mbuga za wanyama..vitu vya kuchonganisha tuu...SASA sijui anajua watoto wa PM au Katibu mkuu wanasoma wapi... nilikua namheshimu but Kwa attacks hizi kakosea Sana... waziri yeye anasimamia Sera ambazo nyingi zina Baraka za Baraza la mawaziri ambayo chairman ni Rais na Katibu mkuu ni secretary..Rais wa Zanzibar ni member pia ambaye yeye pamoja na watoto wake hawajawai kukanyaga hizo shule za kata...RC kawasengenya wengi Sana Kwa kujifanya anamsema waziri mmoja AME attack almost the entire government....he has to go..you can't have collectiveness by senior officials attacking others on matter of personal issues in public.
Jiwe aliwaharibu sana vichwa vyenu... Mtaka yupo sahihi..Huyu mtaka kwa namna alivyowasilisha ujumbe ni takataka kabisa, serikali gani ya kipumbavu hivi?, why?ngo'ombe anenepe siku ya mnada? Integrity iko wapi?kama anakero zake atumie vikao vya ndani, yuko chini ya Ummy na Waziri Mkuu kashindwa ushawishi au wamemtuma? Makonda mpya huyu pumbavu kabisa hana adabu, kuna hiari na lazima, kama mwalimu wa fizikia, hesabu na kemia hawapo umelisemea, uzoefu wako wa Shinyanga umewashirikisha wizara zote mbili? Sifieni huu utovu wa kinidhamu ila kaongea kichoko sana, hana heshima na kanuni, taratibu, sheria na miongozo.
Hii ndio Aina ya Uongozi tunaouhitaji nchi hii.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake.
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Ndalichako alishindwa Baraza la Mitihani kwa ubishi wake ilikuwaje apewe Wizara.
Mama Samia tuondolee huyu Ndali
View attachment 1851425
Wawe vilaza waendelee kuwa tawalaWewe kwa akili hizi ni Sifuri, Kuna mkoa unaitwa "Songea"
Wana ccm mna matatizo makubwa sana
Unatetea mambo wakati wewe una elimu ya kuunga unga na elimu ya shule za kata
Mkuu wa mkoa anataka kuboresha, wewe unataka watoto wawe Vilaza kama wewe
Si kweli.Wengine wameajiriwa na serikali lakini sisi raia tunaambiwa tujiajiri mana serikali haina nafasi.
Nasikia Mhe. Joyce Ndalichako ana mtoto mmoja na alifeli chuo, wajuzi ni kweli hayo.?
Kusoma Msolwa St. Gaspare na Canada sio mchezo.Wengine wameajiriwa na serikali lakini sisi raia tunaambiwa tujiajiri mana serikali haina nafasi.
Nasikia Mhe. Joyce Ndalichako ana mtoto mmoja na alifeli chuo, wajuzi ni kweli hayo.?
Wewe ndio umesoma na kuona shule na jeshi tuu kwenye bandiko langu, kama Mimi nilivyoona Aya yako ya Mwisho.Unalinganisha shule na jeshi? no wonder unaona maamuzi yanayoathiri ufaulu wa wanafunzi ni sahihi yafuate.
Mkuu wa mkoa anazijua changamoto za mkoa wake zaidi ya waziri, that should give him a chance to provide immediate solutions to immediate problems bila kusubiri mtu fulani huko juu ambae hajui hizo changamoto atoe tamko.
Kama mkuu wa mkoa hana nguvu ya kufanya maamuzi yeyote kutatua changamoto za mkoa wake basi hiyo ofisi ni pambo tu haina kazi.
Kila raia anawajibu wa kutii sheria pekee na si vinginevyo.
Ana watoto wangapiSi kweli.