Kwa nini wasiitane wakajadiliana na siyo kudhalirishana?Nchi hii inayumba sana kwa sababu ya kuoneana aibu. Anthony has made it. Development is integrated with difference in opinions. Na hakuna kuambiana huko ofisini. Tell it in broad day light. Joyce amemkera sana Anthony I hope. Hata mimi ningemjibu hivyo hivyo zaidi ya Anthony. Watoto wakifeli RC ndiye anasakamwa. Remember, waziri ni policy tu lakini utendaji uko TAMISEMI kwa akina Anthony. Niliwahi kusema kuwa wakuu wa mikoa watakaofanikiwa ni Anthony, Kafulila, and Queen.
Tamko la Mtaka, linaondoa heshima ya waziri kwa wanafunzi na wazazi, huoni kwamba kuna siku waziri anaweza kuzomewa kwa tamko la kidhalirishaji la mkuu wa mkoa?
Mkuu wa mkoa, aache dharau, angelikuwa yeye ndio waziri angependa kudhalirishwa kiasi hiko?
Kwani kulikuwa na ulazima wa yeye kutaja jina la waziri kwenye mpango na mikakati yake ya kuboresha Elimu mkoani kwakee?