Hivi unafahamu kuwa Mtaka aliongea kitu anachokifahamu consequence yake?Mkuu, inaelekea una tatizo binafsi na waziri wa elimu. Kuna msemo wa kiingereza usemao - "All work and no play makes Jack a dull boy". Ulizia maana yake.
Kisha tujiulize hapa;Yeye mkubwa aliwaheshimu wadogo?
Tusichokijua hapa ni kuwa kila RC /DC kwenye eneo lake amewekewa malengo ya kutimiza kwenye kila idara, nj pamoja na elimu.
Sasa mkuu wa mkoa kaweka mikakati yake, waziri anakuja kuwaambia wananchi kuwa hiyo mikakati si sahihi. Huyu mkuu wa mkoa au wilaya atafanikiwaje?
Vitabu kapewa vichache, walimu pungufu, majengo mabovu, madawati hakuna na hata walimu wachache waliopo wamekata tamaa ya kazi.
Waziri aje na suluhusho halisi badala ya kushikilia sheria na kanuni ambazo hazileti tija.
Ndiyo maana miaka 60 baadaye hatujafika mbali. Wamekariri, hawakuelimika.Jidanganye, wote unaowaona ni ma Prof hasa waliopita PCB na PCM walitumia mtindo huo. Nani kakueleza kuwa hakuna kukariri Newton 3rd law wewe.
Ndio maana anataka kinachofanyika huko private kifanyike serikalini ili hawa maskini nao wafaidiwajuzi watujuze kwanza watoto wa RC mtaka wao wanasoma wapi shule gani anuai....? au kiongozi yeyote cabinet minister , RC au mtunga sera yeyote mwenye kutembelea kiyoyozi au bendera yeye watoto wake wao wanasomea wapi shule gani za kata au serikali msingi na sekondar?
YesNashauri huyu RC apandishwe cheo na kuwa waziri wa elimu, sayansi na teknolojia.
Tutafika mbali.
Kwani jinai kupeleka shule zisizokuwa za kata ?In Africa it's dangerous to be right when your master is wrong RC Mtaka kasimama na wananchi na katupa jiwe gizani huu ndo ukweli ambao wananchi wengi wanapiga kelele viongozi pelekeni watoto wenu shule za kata
Unajua hili suala la kambi nimekuwa nikijiuliza sana kwamba hivi huwa kinafanyika nini huko makambini!! Lakini ninachoona ni kama kile kinachoitwa kunenepesha ng'ombe siku mnada!!!..Nakubaliana na wewe.
..Naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba " makambi ya kukariri mitihani " ni matokeo ya elimu hafifu / duni inayotolewa ktk shule nyingi hapa nchini.
..Kwenye nchi za wenzetu wanafunzi hawapigi kambi kukariri mitihani, bali hupiga kambi kwa ajili ya klabu za debate, sayansi, mashindano ya hesabu, michezo, etc etc.
Cc Chige, Augustine Moshi , Nguruvi3
Huna hojaUnajua hili suala la kambi nimekuwa nikijiuliza sana kwamba hivi huwa kinafanyika nini huko makambini!! Lakini ninachoona ni kama kile kinachoitwa kunenepesha ng'ombe siku mnada!!!
Lakini cha ajabu, inaelekea huu mtindo unasaidia sana wanafunzi kufaulu mitihani, lakini am sure, uchukue wanafunzi wote waliofaulu mtihani waliofanya november kisha uwape mtihani ule ule mwezi mmoja baadae, usishangae ukakuta nusu ya wale ambao mwanzoni walifaulu, hivi sasa wakafeli kwa sababu kama ulivyosema, inaonesha wazi kwamba wanasomea mitihani!
Miaka ya 90, pale Mgulani Primary School kulikuwa na teacher mmoja maarufu sana kama Mwalimu Imma!!! Pamoja na umaarufu wake kwenye ufundishaji wa tuisheni, lakini pia karibu na mitihani alikuwa na kitu kinachofanana na hizi kambi, na kweli, over 90% ya wanafunzi wake walikuwa "wanafaulu"!!
Cha ajabu, at least wale ninaowafahamu mimi, wengi wao walikuwa wanaishia Form IV kwa kile ninachodhani walienda sekondar sio kutokana na uelewa wao bali kutokana na ujanja ujanja wa kusomea mitihani, na matokeo yake, unaingia sekondari wakati hauna msingi imara wa elimu ya awali.
Kwani nilikuambia nina hoja?! Wa wapi wewe?!Huna hoja
DuuKwani nilikuambia nina hoja?! Wa wapi wewe?!
Wasipobadili huo mtindo wao wa kufaulisha shule nzima darasa la7 hatutafika mbali. Wanafunzi wanafaulishwa tu hata uwezo hawana,kuandika na kusoma vizuri hawajui. Halafu ndiyo uje utegemee kufika mbali?Nashauri huyu RC apandishwe cheo na kuwa waziri wa elimu, sayansi na teknolojia.
Tutafika mbali.
Bora tu amechanwa, yuko bize kupromote watoto wa masikini wapate mimba wakiwa shuleni.Mtaka na Busara ndogo ya kuchonganisha na kuchanganya wananchi. Kwani kusoma international school kuna tatizo gani versus shule za kata? Mtoto gani anapelekwa shule na bendera? Hayo ma personal conflict yenu kamalizieni huko. Kweli Ndalichako hana uwezo wa kuwa waziri lakini ndio kakalia kiti na ndie waziri. Sasa unakataaje maamuzi yake hadharani? Mkagombanie hukohuko ndani sio hadharani. Mnatuchosha!