johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Serikali jijini Dodoma imepiga marufuku biashara ya majeneza mitaani na badala yake biashara hiyo ifanyike sehemu maalumu.
Afisa afya wa jiji amesema kusambaa kwa biashara ya majeneza kila kona ya jiji kunawafanya wananchi wapatwe hofu na waishi kwa uwoga bila sababu ya msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Afisa afya wa jiji amesema kusambaa kwa biashara ya majeneza kila kona ya jiji kunawafanya wananchi wapatwe hofu na waishi kwa uwoga bila sababu ya msingi.
Maendeleo hayana vyama!