Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
RITAHivi death certificate inatolewa na home affairs?
RITAHivi death certificate inatolewa na home affairs?
Shauri na mortuary mahospitalini ziondolewe ziondolewe zinakatisha tamaa wagonjwaYale yanayouzwa magetini hospitali nayo toeni. Yaani mgonjwa anapitishwa mbele ya majeneza? Hili nalo siyo sawa. Wagonjwa na ndugu zao wanakata tamaa.
RITA kupitia ofisi za wakuu wa wilayaHivi death certificate inatolewa na home affairs?
What difference does it make?Mbona kama siyo muelewa mkuu....
Majeneza yauzwe lakini sio hadharani....wengine wanapanga nje ya hospitali....
Muoga kweli wewe😂😂😂😂Mkuu Acha kabisa ayo makitu sipendi kuyaona kiukweli na sio biashara yakufanyika kila sehemu mkuu!!!!! Hofu lazima unakuta mtaa unaoishi una hayo madude Unategemea nn apo Mzee kila unapotoka na kurudi unaona hayo majeneza Hapana bwana..... hii biashara watafute sehemu maalumu
Unajiita Jabali kumbe muoga hivyo!!!!!WEWE UMESHIBA AFYA HUNA LOKOTE.
Unauguza mgonjwa nyumbani ana kansa umetoka nae kufanya mazoezi baada ya matibabu anaona majeneza kila kona Ww unaona ni sawa?
kuna Binadamu tumekuwa wabinafsi sana, kila tamko la serikali tunataka lituhusu kama halituhusu ni UPUMBAVU
haha haha a kwani jeneza linatofauti gani na furniture zingine, au lina sehemu za siri kwamba liko uchi. jeneza limetengenezwa kwa mbao kama viti, kitanda na mezaDodoma kuna vituko sana. Sasa mzee mzima anaogopa majeneza!?
kweli kabisa kwa akili hizi basi na makaburi yasionekane yafichweWatoe na makaburi huku mitaani ili tusiishi kwa woga au mnasemaje wananchi??
Namimi napenda kujua hiloHivi death certificate inatolewa na home affairs?
Sio mbaya kama fikra zako ndio zimeishia hapo