Of all the wonders that I have heard,It seems to me most strange that men should fear;Seeing death, a necessary end,Will come when it will.Serikali jijini Dodoma imepiga marufuku biashara ya majeneza mitaani na badala yake biashara hiyo ifanyike sehemu maalumu.
Afisa afya wa jiji amesema kusambaa kwa biashara ya majeneza kila kona ya jiji kunawafanya wananchi wapatwe hofu na waishi kwa uwoga bila sababu ya msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Soma tena mchango wangu katika mada hii,haraka ya nini?nani kasema home affairs ndio wanatoa death certificates?ngoja nikusaidie to understood,wazo langu ninapendelea home affairs ndio wawe wanatoa death certificates SIO watu wengine maana wao ndio wana populations register ya nchi.Hivi death certificate inatolewa na home affairs?
Taratibu hujui bingwa wa kucharaza bakora anapatikana mkoa huo sasa endelea tuDodoma kuna vituko sana. Sasa mzee mzima anaogopa majeneza!?
Anapendekeza iwe hivyo.Hivi death certificate inatolewa na home affairs?
Mbona kama siyo muelewa mkuu....Kwahiyo majeneza yanapaswa kuuzwa kwa siri kama madawa ya kulevya?
Hofu ya nn wakati kila mtu atakufa? Hata uwe afisa afya wa dunia utakufa tu
Mkuu wewe ni muelewa.Nafikiri japo sio kwa umuhimu wake ila kwa hili ilitakiwa waziri ndo alitolee tamko kea nchi nzima
Sababu ni kweli kila mtu atakufa hakuna kitakachodumu milele ila kuuza majeneza mbele ya Hospital au mita mia moja kutoka hospital mgonjwa anapoona ana uwezekano mkubwa wa kukata tamaa ya kuishi
Penye ukweli uongo hujitenga !Mkuu wewe ni muelewa.
Tatizo la watu humu ndani wanapinga kila kitu kwasababu tu wao ni wa wapinzani
Hakuna shida hata majeneza yakiuzwa wodini. Zile ni mbao tu haziongezi Wala kupunguza maisha ya mtuMbona kama siyo muelewa mkuu....
Majeneza yauzwe lakini sio hadharani....wengine wanapanga nje ya hospitali....
Wasiuze mitaani? Wauzie wapi?Serikali jijini Dodoma imepiga marufuku biashara ya majeneza mitaani na badala yake biashara hiyo ifanyike sehemu maalumu.
Afisa afya wa jiji amesema kusambaa kwa biashara ya majeneza kila kona ya jiji kunawafanya wananchi wapatwe hofu na waishi kwa uwoga bila sababu ya msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Ina make sense sema tu namna ya kuwasilisha ni lazima utakutana na Watu wa kupinga, hii ni kawaida.Kwahiyo majeneza yanapaswa kuuzwa kwa siri kama madawa ya kulevya?
Hofu ya nn wakati kila mtu atakufa? Hata uwe afisa afya wa dunia utakufa tu
Hiyo heading / thread umeona wamesema hospitalini, au unajadili uzi mwingine?Mbona kama siyo muelewa mkuu....
Majeneza yauzwe lakini sio hadharani....wengine wanapanga nje ya hospitali....