Akiyaona usiku anaota anapaa hewani kama Bombadia!ASA JENEZA LINAMPA VIPI MTU HOFU??? ALIETOA TAMKO HILI NI MPUMBAVU
Hii hadithi kwenye hili suala ina maana sana pale unapokuwa mzima wa afya, ila unapokuwa una tatizo, unapigania afya na unahitaji phyisical na psychological strength haina maana yoyote. Serikali ipo sawa.Nimekumbuka hadithi ya mbuni anayeingiza kichwa kwenye mchanga akidhani kwa kufanya hivyo adui hatamwona.
WEWE UMESHIBA AFYA HUNA LOKOTE.ASA JENEZA LINAMPA VIPI MTU HOFU??? ALIETOA TAMKO HILI NI MPUMBAVU
HIYO NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE ACHA MAMBO YAKOWEWE UMESHIBA AFYA HUNA LOKOTE.
Unauguza mgonjwa nyumbani ana kansa umetoka nae kufanya mazoezi baada ya matibabu anaona majeneza kila kona Ww unaona ni sawa?
kuna Binadamu tumekuwa wabinafsi sana, kila tamko la serikali tunataka lituhusu kama halituhusu ni UPUMBAVU
Sawa, kama nilivyokuambia inaonekana ww na ndugu zako mmeshiba afya hata yakiuzwa mlangoni kwako hakuna psychological touture yoyote.HIYO NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE ACHA MAMBO YAKO
MBONA HAWAKATAZI WATU KUUZA SUMU MAANA WATU WANATUMIA KUJIUA???
HIYO SASA JUU YAKO WA KUFA WA KUFA WA KUISHI WA KUISHI TU AONE JENEZA HATA ASIONE, HESHIMUNI KAZI ZA WATUSawa, kama nilivyokuambia inaonekana ww na ndugu zako mmeshiba afya hata yakiuzwa mlangoni kwako hakuna psychological touture yoyote.
Ila kwa wale ambao wanauguza wapendwa wao kupishana na majeneza si sahihi sababu inapunguza matumaini badala ya kuongeza.
HIYO SASA JUU YAKO WA KUFA WA KUFA WA KUISHI WA KUISHI TU AONE JENEZA HATA ASIONE, HESHIMUNI KAZI ZA WATU
KILA MMOJA ATAKUFA HILO UKILIELEWA UTAISHI VEMA
KUNA SHIDA MAHALI SIO BURESikia, Biashara zina utaratibu ndo maana huwezi fungua bucha la kitimoto msikitini au duka la kondom ndani ya kanisa la walokole kwa sababu tu ni biashara na inatakiwa kuheshimiwa.
Kila mtu atakufa, hakuna atakayeishi milele, ni lazima tuwe na huruma na wale waliofikia kiwango cha kupigania maisha yao maana na sisi hatujui ni lini tutashikwa mikono kusaidiwa kutembea. Katika nafasi waliyopo sidhani kama majeneza ni jambo sahihi na la kupendeza kutazama.
Umeshawaza unamsaidia ndugu yako kutembea aliye mahututi unayetamani apone ila hapo mnapoishi ni majeneza yamewazunguka?
Wewe ni makamu wa shetani!Hofu gani sasa hebu atuache sisi marehemu watarajiwa hatuna hofu yoyote kwa kuyaona