Baai imani yao ndogo. Alafu mbona tunapenda sana kujidanganya kuwa kifo kipo mbali.Yale yanayouzwa magetini hospitali nayo toeni. Yaani mgonjwa anapitishwa mbele ya majeneza? Hili nalo siyo sawa. Wagonjwa na ndugu zao wanakata tamaa.
Baai imani yao ndogo. Alafu mbona tunapenda sana kujidanganya kuwa kifo kipo mbali.Yale yanayouzwa magetini hospitali nayo toeni. Yaani mgonjwa anapitishwa mbele ya majeneza? Hili nalo siyo sawa. Wagonjwa na ndugu zao wanakata tamaa.
Ndugu mbona unazipa hadhi na na tishio kubwa sana hizo mbao zikizobandikwa jina la jeneza? Zile ni mbao tu haziongezi Wala kupunguza uhai wa mtu hata kama zikiuzwa wodiniKama ambavyo usingependa kuona Pombe jirani au nje ya nyumba ya ibada?.
Nimesema ni suala la kisaikolojia zaidi.Ndugu mbona unazipa hadhi na na tishio kubwa sana hizo mbao zikizobandikwa jina la jeneza? Zile ni mbao tu haziongezi Wala kupunguza uhai wa mtu hata kama zikiuzwa wodini
Pombe inanywewa na kuingia mwilini Kisha kulevya na kuharibu akili ya mtu na kumfanya kuwa kama mnyama. Zile mbao (jeneza) haziingii mwilini.
Siyo kwa kificho mkuu....Hiyo heading / thread umeona wamesema hospitalini, au unajadili uzi mwingine?
Jaribu kuuza kitu kwa kificho chumbani kwako, halafu utupe mrejesho wa kiwango cha mauzo
Mkuu tukisema tufuate hisia na matakwa ya kila mmoja anavyotaka nchi haitakalikaNimesema ni suala la kisaikolojia zaidi.
Na lisilokusumbua wewe Mwingine linamsumbua hivyo acha ubinafsi wa kutaka hisia zako zifanye kazi kwa kila Mtu.
Kama binaadamu unaweza kutapika kwa kitu cha kukumbuka tu kupitia hisia na wala hukioni machoni kwa wakati huo....bado huoni tu nafasi ya kila jambo kuwa na mahali pake?.
Kwenye hiyo heading / thread umeona sehemu wameandika kuuza nje? Au unajadili uzi mwingine?Siyo kwa kificho mkuu....
Kwani watu wenye salon wameweka viti nje?
Si wameweka ndan?
Kwahiyo unataka wanawake wanaojiuza nao waweke kvma zao nje ili tuwe tunaziona??
Wajenge hata mabanda ya kuuzia na hayo majeneza yawe ndani na siyo nje....
Na MISALABA kwa wafyatua MATOFALI pia.Serikali jijini Dodoma imepiga marufuku biashara ya majeneza mitaani na badala yake biashara hiyo ifanyike sehemu maalumu.
Afisa afya wa jiji amesema kusambaa kwa biashara ya majeneza kila kona ya jiji kunawafanya wananchi wapatwe hofu na waishi kwa uwoga bila sababu ya msingi.
Maendeleo hayana vyama!
Yale yanayouzwa magetini hospitali nayo toeni. Yaani mgonjwa anapitishwa mbele ya majeneza? Hili nalo siyo sawa. Wagonjwa na ndugu zao wanakata tamaa.
Faraja ni tiba ya kwanza ya mgonjwa. Uwepo wa jeneza ni kinyume chakeBaai imani yao ndogo. Alafu mbona tunapenda sana kujidanganya kuwa kifo kipo mbali.
Mkuu nakuunga mkonoNami niongezee kuhusu issue hii,serikali iruhusu watu binafsi kufanya biashara ya kuhifadhi maiti (mortuary )na hawa pia wawe na uwezo wa kuuza majeneza kwa hiyo kila kitu unakipata kwenye sehemu moja,na hii itasaidia wafiwa kuhifadhi maiti yao kwa car taker wao au wanayeridhika na service yake,hawa care takers wawe na uwezo wa kuwasiliana na home affairs kupata death certificates (kisheria hawa ndio wanatakiwa wawe wanatoa hizi death certificates maana wana system ya watu)
Yote kwa yote binadamu tunapenda kiweka kifo mbali sana wakati uhai wenyewe huu tulionao ni very fragile.Faraja ni tiba ya kwanza ya mgonjwa. Uwepo wa jeneza ni kinyume chake
Halafu kazi ya watu wa uzazi na vifo (RITA) itakuwa nini?Soma tena mchango wangu katika mada hii,haraka ya nini?nani kasema home affairs ndio wanatoa death certificates?ngoja nikusaidie to understood,wazo langu ninapendelea home affairs ndio wawe wanatoa death certificates SIO watu wengine maana wao ndio wana populations register ya nchi.
Futa hii kitu ni ubadhilifu wa fedha za nchi,home affairs ndio wenye jukumu la kuwa na population register ya raia,wao ndio wanawajibika kutunza kumbukumbu hizi za raia.Halafu kazi ya watu wa uzazi na vifo (RITA) itakuwa nini?
ASA JENEZA LINAMPA VIPI MTU HOFU??? ALIETOA TAMKO HILI NI MPUMBAVU
👇🏿ASA JENEZA LINAMPA VIPI MTU HOFU???
*Yale yanayouzwa magetini hospitali, ...
*Yaani mgonjwa anapitishwa mbele ya majeneza?.
*Hili nalo siyo sawa.
*Wagonjwa na ndugu zao wanakata tamaa.